Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Uhalisia ni kwamba wewe mwenyewe unajua ulichoandika sio ukweli.
Kuna watu wakuandika ilimradi wameandika. Lakini mwandishi makini, mwenye msimamo na ambae anajitambua ni sehemu ya balance and checks za nchi hawezi andika upuuzi huu.
Ndio ‘bi-tozo’, keshapitishwa na CCM, kwa mazingira ya Tanzania atashinda uchaguzi (might as well maana upinzani wenyewe hovyo), lakini uwezi kutuandikia jukwaani huyo mama ana uwezo wa kuendesha nchi.
Hata wewe deep down, unajua that’s a lie.
Tafuta namna nyingine ya ku-promote propaganda causes zako lakini sio kuandika uongo ambao ni wa wazi; hata wewe unajua .unaandika uongo.