Pre GE2025 Samia mitano tena sio kwasababu ni Mwanamke! Ni kielelezo cha Uwezo wa Mwanamke katika Uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uhalisia ni kwamba wewe mwenyewe unajua ulichoandika sio ukweli.

Kuna watu wakuandika ilimradi wameandika. Lakini mwandishi makini, mwenye msimamo na ambae anajitambua ni sehemu ya balance and checks za nchi hawezi andika upuuzi huu.

Ndio ‘bi-tozo’, keshapitishwa na CCM, kwa mazingira ya Tanzania atashinda uchaguzi (might as well maana upinzani wenyewe hovyo), lakini uwezi kutuandikia jukwaani huyo mama ana uwezo wa kuendesha nchi.

Hata wewe deep down, unajua that’s a lie.

Tafuta namna nyingine ya ku-promote propaganda causes zako lakini sio kuandika uongo ambao ni wa wazi; hata wewe unajua .unaandika uongo.
 
Pascal Mayalla ni CHAWA pro, CHAWA plus, CHAWA lialia
 
Hata marehemu alidhani atafika leo ila hakufika, naamini kabla ya 2030 Adam ndo atakuwa E 1
 
Vipi Comrade, Mama ameshakubali kuifanyia marekebisho tume ya uchaguzi ili iwe huru kwa 100%, na hivyo kutengeneza mazingira ya kufanyika kwa uchaguzi huru na wa haki? Vipi kuhusu yale mapungufu ya kuzuia mgombea binafsi, yamepatiwa ufumbuzi?
 
Duh...!.
Nimeleta bandiko lenye hoja, nimetetea hoja yangu, you are free, kupangua hoja, kwa hoja mbadala,
Ina maana mimi ni muongo na nasema uongo kumhusu Samia.
Je hoja hizi ni uongo kumhusu Rais Samia?.


P
 
Duh...!.
Nimeleta bandiko lenye hoja, nimetetea hoja yangu, you are free, kupangua hoja, kwa hoja mbadala,
Ina maana mimi ni muongo na nasema uongo kumhusu Samia.
Je hoja hizi ni uongo kumhusu Rais Samia?.

P
Unaniuliza maswali ambayo nikisema tuyafumue kwa basis ya ‘critical analysis’ kutokana na ulichoandika. Hiyo post yangu aitokuwa kind to you kutokatana na ulichoandika.

Kwa mfano what metric measure, umetumia kusema Samia ni kielelezo cha mafanikio ya mwanamke (based on performance, or what meritocracy hadi kufikia hapo) zaidi ya kudra za mwenyezi mungu tu.

Au wanawake gani Tanzania wenye ubinifu waliojuu zaidi ya bahati tu au hata huko private mafanikio yao ni kwa sababu ya kutegemea serikali tu.

Hakuna wanawake wa maana Tanzania ya kubebwa tu.
 
Rais Bora kabisa kuwahi kutokea.

Ingekuwa ni wale wengine vijana wanaojiita NETO wangekuwa wameshapotea
 
NO REFORMS NO ELECTION DADEKI
 

Mkuu Kukimonsta coockie monster, asante kwa post yako, kati ya wachangiaji wote 19 wa page 1 ya bandiko hili, you are the only one uliechangia mada iliyopo mezani. Thanks.
P
Mada yako inahitaji great thinkers wanaosoma na kuelewa maudhui ya kile ulichokiandika. Wengi wetu tumesoma tu kichwa cha habari na kuanza kutukana. Kama wangesoma na kuelewa ulichokiandika kwakweli ungepata sifa lukuki. Tatizo letu hatusomi na tunapenda nyuzi nyepesi nyepesi ambazo haziumizi kichwa kuzielewa. Mzee wangu endelea hivi hivi sisi wachache tunakuelewa sana na wewe siyo Chawa ila ni great thinker na only great thinkers ndio wanakuelewa.
 
Performance yake kwenye Uongozi.

Katika jamii ambayo imetawaliwa na mfumo dume ,baada ya mwanamke kupewa nafasi ameonesha uwezo extra ordinary by far kuwazidi nyie Wavaa suruali by any metrics ya Uongozi na delivery.

Kama unabisha Pinga Kwa hoja na Kwa ulinganifu.

View: https://x.com/dictatorbin/status/1900057456128254259?t=m9NNuyprZJrFZFDvRLfAgQ&s=19
 
Sawasawa kampeni Meneja . Lakini hatashinda
 
Masikini Pascal anazeeka na uchawa wake. Mwanzoni nilijua machawa ni vijana kama kina Mwijaku, Baba Levo, Mpoto,. sikuwahi kudhani wasomi wa Sheria wa Mlimani wanaweza kuwa chawa
 
Duuuuh.... hakika Mungu pokea dua zetu tupate hela... Umaskini unatweza utu wetu Mwenyezi Mungu. Waliotuheshimu sasa wanatudharau sababu ya njaa zetu Mwenyezi Mungu. Eeeh baba tufungulie milango ya rizki za halali yetu. Tunajidhalilisha sana hivi sasa, maana inatulazimu kufanya tusiyopenda mradi tupate chochote cha familia...

Wote tuseme Aaaamein!!!!
 
Hii style inaitwa "Anzisha thread na mama"
Machawa kazini
 
Niliwasikitikia sana walioanza kuziamini zile nyuzi zako za spinning kuwa NO REFORM NO ELECTION haitafanikiwa. Walikuwa hawakujui vizuri nadhani sasa wataaanza kukujua vizuri kuwa wewe ni mchumia tumbo tu wa CCM na huna weredi wowote ule katika tasnia ya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…