Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,198
- 11,630
Yani kashajiona yeye ndiye mgawa maendeleo, anayetaka maendeleo lazima amfuate yeye?Samia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
True meaning of stupid peopleSamia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
Maendeleo gani tena?Samia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
Maendeleo analeta kwa pesa zake au kodi za watu wote?Samia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
😂😂😂😂😂Kadri upepo unavyozidi kuwa mkali ndivyo mpododo wa kuku unazidi kuonekana..!!