binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,966 Reaction score 47,296 Oct 11, 2025 #21 Kweli? ZZK anasemaje kuhusu hili? Yericko Nyerere je? π
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,054 Reaction score 58,689 Oct 11, 2025 #22 Sasa Kuna faida gani ya kufanya uchaguzi au kuwa na vyama vingi? SI bora kiwe kimoja tujue moja
NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,868 Reaction score 5,164 Oct 11, 2025 #23 kwa hapa mama sikubaliani naye japo ni kampeni Nchi za kiafrica kinachorudisha nyuma maendeleo ni kitu kama hichi Marekani Democrat wakinyukaa na republicans huwezi sikia maneno kama haya maana maendeleo hayana chama kama alivyosema Mwendazake
kwa hapa mama sikubaliani naye japo ni kampeni Nchi za kiafrica kinachorudisha nyuma maendeleo ni kitu kama hichi Marekani Democrat wakinyukaa na republicans huwezi sikia maneno kama haya maana maendeleo hayana chama kama alivyosema Mwendazake
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 11, 2025 #24 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw