Samia MzumbeUniversity: Ni muda muafaka lecturers watembee katika vyombo vya habari kuelezea kiasi gani kozi zao au topic zinamfanya mtu ajiajiri?

Samia MzumbeUniversity: Ni muda muafaka lecturers watembee katika vyombo vya habari kuelezea kiasi gani kozi zao au topic zinamfanya mtu ajiajiri?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa.

Thinking aloud, coz bodi ya mikopo inakula karibu trillion, let universities justify what they feed the public/students vs investment katika bodi ya mikopo.

Chuo kikuu ni sehemu ya kufundisha thinkers, but context isomane na jamii
 
Najua mtachangia tu, maana kuna kozi zinakula bilioni za nchi kumbe mtu kasoma Archives. Let's chakata iti kiuchumi ili mwanafunzi akitoka hapo ajue inamlipaje
 
Nitashangaa sana eti kumuona Prof au Dr akifanya kama ulivyoagiza. Kazi kubwa ya elimu ni kuboresha character ya mtu na sio kutengeneza character mpya.

Wewe kama jamii inayokuzunguka na wazazi wako hawajakufunza ujasiriamali na kujiajiri usitegemee kujifunza hicho kitu chuoni kwa kusoma course mbili tatu.

Kwasababu kama hujajifunza kqa jamii na familia yako, maana yake linakuwa ni jambo ambalo huliamini moja kwa moja (huna imani nalo)
 
Mzumbe magorofa yapo kuanzia main campus hadi mahekani au unataka magorofa kama yale ya TCRA mawasiliano?
 
Back
Top Bottom