Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
usiweke hisia kwenye siasaKatika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima, mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Mazeri naona afya imetikisikaKatika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima, mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Hisia kwa hiki kibibi kinachoua wakosoaji?usiweke hisia kwenye siasa
Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Mbowe dalali na hii imeendaKatika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Uzuri TAL hanaga kona kona na hapendi unafiki hafichi jambo atasema yote ndio mana wanaogopa🤣🤣🤣KILA MTU apambane na yake HIYO inaitwa. Tashangaa SANA lisu AKITOKA jela mbowe Aende kumsalimu itanifikirisha sana
Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais
Rais aheshimiwe na kila mtuKatika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Kwahiyo Mbowe ndio kamweka ndani Lissu ?.Huyu baba toka akiwa Mwenyekiti, sura yake ilikuwa inaonyesha ya kinafiki sana. Wafurahi, wakejeli ila hakuna kisicho na mwisho. Hayo yote ni mapito, kulikuwa wasiogusika sasa hivi wako wapi? Time will tell.
#FREE TUNDU LISSU.
Mbowe alipoulizwa na waandishi wa habari kuhusu NRNE alijibu kuwa yeye ni mwanachama wa kawaida,kuhusu jambo hilo wawatafute viongozi wa chama.Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Mimi siku ya maandamano alipoonekana na kukamatwa yeye na mwanae nilimtilia mashaka sana na mashaka yangu yamedhihirika leo.itatuchukua muda mrefu kupata wapinzani wa kweli.wengi wao ni watu wa mfumo.imeonekana upinzani uko juu wameona wamtumie sasa kijana wao kama alivyotumika Lipumba kuimaliza CUF.umemsikia Lipumba? yupo kimya anakula keki ya Taifa.Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,