Samia na Mbowe hand shaking.: Je hii ni dhihaka, dharau na kejeli dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu?

Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,

Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!

Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.

Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.

Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.

Muda ni mwalimu mzuri.

We unajulikana una IQ ndg sana unahangaika na mambo yako juu sana ya uwezo wako.
 
Atakayesoma huu uchafu wako mpk mwisho atakuwa zuzu mwenzako.
 
FAM alikuwa anatudanganya tukaandamane kumbe ni script anasoma!

Wale vijana wamepotea wengine wamekufa jamaa anazuga kuwaongelea kumbe yuko kinyume nao?

Mdude?kibao?...Mbowe ni mnyama na katili sanaa!
 
Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,

Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!

Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.

Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.

Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.

Muda ni mwalimu mzuri.

Zanzibar mchukuweni Mama yenu arudi Kizimkazi amechokwa
 
Ila wapinzani tuna akili za kipumbavu kabisa! Ina maana kutofautiana itikadi ni uadui? Ulitaka akatae mwaliko wa kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa?
 
Hakuna mtu hapa. Bora hata lipumba mara kumi ana la kuoffer kwa watanzania ila sio hii takataka.

Mchumia tumbo huyu,hakuna mtu hapa. Hatakiwi hata kushika serikali ya mtaa huyu,wanachadema ufanyike ukaguzi arudishe pesa zote alizojikusanyia kipindi chote akiwa mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Nothing happens for no reason. Kiprotocali, niambieni nini kinaweza kutoa fursa ya picha kama hii Kwa Mh Mbowe ?

Wote wakae afu Mwamba asimame nyuma peke ake as a king ?

Sio hivyo tu , presida mwenyewe aamuke asimame na mwamba peke Yao kama wafalme wawili wenye mamlaka kamili wamekutana ?

Lazima Kuna agenda , iwe ni Kwa kujua au kutokujua. Hili sio tukio la kawaida Kwa event ya Leo.

Mambo makubwa 2 yanawezekana.

1: Staged attention kuzima moshi wa Jana wa Gwajima na Mzuki mpya aliotaka kutusikiliziaha Pole pole Leo. Ikiwa Ina maana Mh Mbowe amekubali kua ni kibaraka au dalali kama vijana wa kijiweni wanvyomuita au

2: Kuna jambo Mungu anataka kulifanya kupitia harmonization hii. Tukio hili ni kama Kuna wingu limefunguka kuruhusu agenda ya reconciliation kuendelea. Kama option hii ndo lengo , Mungu bariki or else ni giza nene, usariti, na huzuni Kwa wanahatakati wa NRNE .
 
Mbowe ni kibaraka na dalali kama alivyo mwanafunzi wake Zitto hata mfuasi wake Ngongo anajua kama boss wake ni dalali
 
Kwahiyo Mbowe ndio kamweka ndani Lissu ?.
Lissu amekaa gerezani miezi mitatu only.
Mbowe amekaa gerezani miezi nane,leo unamwita Msaliti ?.
Mbowe mashamba yake na biashara zake zimevurugwa leo unamwita msaliti kwasababu kaudhuria uzinduzi wa dira ya maendeleo !.

Wakati Mbowe anatukanwa anabagazwa anachafuliwa kwa kila aina ya matusi mlikaa kimya mkiwasifu wachafuaji.

..tatizo ni Mbowe kukaa kimya wakati dola ikifanya mambo maovu dhidi ya viongozi wapya wa Chadema, pamoja na wanachama.

..wakati Mbowe akiteswa na dola, viongozi wenzake walimtetea katika kila wasaa, na jukwaa walipopata nafasi.

..Mbowe angeweza kutumia platform ya uzinduzi wa dira ya 2050 kukemea dhuluma ya dola dhidi ya Chadema.
 
Nothing happens for no reason. Kiprotocali, niambieni nini kinaweza kutoa fursa ya picha kama hii Kwa Mh Mbowe ?

Wote wakae afu Mwamba asimame nyuma peke ake as a king ?

Sio hivyo tu , presida mwenyewe aamuke asimame na mwamba peke Yao kama wafalme wawili wenye mamlaka kamili wamekutana ?

Lazima Kuna agenda , iwe ni Kwa kujua au kutokujua. Hili sio tukio la kawaida Kwa event ya Leo.

Mambo makubwa 2 yanawezekana.

1: Staged attention kuzima moshi wa Jana wa Gwajima na Mzuki mpya aliotaka kutusikiliziaha Pole pole Leo. Ikiwa Ina maana Mh Mbowe amekubali kua ni kibaraka au dalali kama vijana wa kijiweni wanvyomuita au

2: Kuna jambo Mungu anataka kulifanya kupitia harmonization hii. Tukio hili ni kama Kuna wingu limefunguka kuruhusu agenda ya reconciliation kuendelea. Kama option hii ndo lengo , Mungu bariki or else ni giza nene, usariti, na huzuni Kwa wanahatakati wa NRNE .

..reconciliation inatakiwa iwe ya kweli na ifanyike baina ya walikoseana.

..kwa msingi huo reconciliation inapaswa kuwa kati ya uongozi wa sasa wa Ccm, na uongozi wa sasa wa Chadema.

..kinyume na hapo inakuwa ni janjajanja tu, ili kupoteza malengo, na muda.
 
Nimeielewa,ubelgiji alikuwa lisu mbowe akiwa ndani prison za tz lisu yuko ndani prison za tz, handshake zao naamini zinaumuhimu
 
..lakini Lissu alimtetea Mbowe.

..Na alisafiri nchi mbalimbali za ulaya kumsemea Mwenyekiti wake.

..mara alipokutana na Rais Samia Ubelgiji, Lissu alisema amemueleza Rais kuwa Mbowe hana hatia.
 
uzuri wote watakao tiki si kwamba watabadilika kimaisha bali watabaki kuwa jobless masikini na kulala seblen kwa waume za dada zao wakiwekewa bando la afumbili waingie mitandaoni kutukana wenye akili...
 
..lakini Lissu alimtetea Mbowe.

..Na alisafiri nchi mbalimbali za ulaya kumsemea Mwenyekiti wake.

..mara alipokutana na Rais Samia Ubelgiji, Lissu alisema amemueleza Rais kuwa Mbowe hana hatia.
uko sahihi ni kinyume chake trust me ,ila makubaliano yao samia na mbowe hayana uzito ,dunia is working until lisu is out
 
Back
Top Bottom