Samia na Mbowe hand shaking.: Je hii ni dhihaka, dharau na kejeli dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu?

Kwani Dira ya Taifa ni Ilani ya CCM ????

Dira ya Taifa haina chama, maana yake hata Chadema wakiingia madarakani inabidi waitekeleze.

Ni ushamba na ulimbukeni kuhoji kwa nini Mbowe kaenda kwenye uzinduzi wa Dira.

Mbowe ana haki kama Raia wa nchi hii. Lakini pia amearikwa kama mtu maarufu siyo kama kiongozi wa Chadema. Hajaalikwa kama mwenyekiti mstaafu wa Chadema ama mjumbe wa Kamati kuu. Hajawakilisha chama. Pia Mbowe ni mfanyabiashara mkubwa anaweza akaalikwa kana mdau wa maendeleo.

Hata Lissu angekuwa hayupo gerezani angealikwa kama mwenyekiti wa chama anapaswa kwenda maana na yeye alishindwa atalazimika kutekeleza. Asingeenda ningejua hajakomaa kisiasa.
 
Wewe baba wapi nimeandika ni msaliti? Kwanini unajitungia story zako na unaniambia nimimi? Alifungwa miezi 8, aliwekwa na wanaosubiria kunyongwa? Si huyo mzima hapo? Mzee Kibao mkewe na watoto hawamuoni. Uliona wapi nawasifu wachafuaji. Usiongee uongo.
 
Iliandaliwa na nani mkuu,
 
Wachaga wanfahamika kuanzia Mrema, Mbatia na sasa Mbowe hakuna jipya kutoka kwa wachaga.
 
Chadema walisusia ruzuku magu hakupiga ban ruzuku acha uongo
 
Hela ya mwanamke hailiwagi kirahisi na ukibahatika kuila jua utaishi anavyotaka yeye. Mbowe hajaenda hapo kwa kupenda ni kwa sababu alikula hela ya mwanamke tena mwanamke mwenyewe wa kizanzibari unaila kwa masimango makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…