nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
We unajulikana una IQ ndg sana unahangaika na mambo yako juu sana ya uwezo wako.Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Atakayesoma huu uchafu wako mpk mwisho atakuwa zuzu mwenzako.Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Endelea kutafuta marifaChadema walisusia ruzuku magu hakupiga ban ruzuku acha uongo
Ila wapinzani tuna akili za kipumbavu kabisa! Ina maana kutofautiana itikadi ni uadui? Ulitaka akatae mwaliko wa kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa?Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa imezuiliwa kufanya shughuli zake zote za siasa nchi nzima,
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema, Freeman Mbowe ameibuka katika tukio la uzinduzi wa dira ya taifa ya 2050 akiwa kama 'mgeni mtarajiwa mahususi', na kupiga picha huku akiwa na tabasamu zito la bashasha na akishikana mikono na Rais Samia Suluhu ikiwa ishara ya kuunga mkono juhudi zote za mama Samia!
Kitendo hicho huenda kinatoa tafsiri ya moja kwa moja kama dharau, kejeli na kebehi kubwa zaidi kwa Chadema iliyo chini ya Tundu Lissu. Kwa sasa huenda Mbowe anatafsiriwa na kuonekana ni msaliti namba moja dhidi ya CHADEMA na harakati zote za kupambania mabadiliko chini ya vugu vugu la No Reform, No Election.
Baadhi wa wadadisi wanasema, huenda siku ya leo itakuwa imeandika historia nyingine katika siasa za mageuzi hapa Tanzania kwa kupata mtu atakayesimama kama alama ya kudumu ya usaliti wa siasa za mageuzi hapa Tanzania.
Soma Pia: Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia
Hatua ya leo huenda ikawa ndio mwanzo wa hatua mbili zingine zinazotarajiwa kufanywa na Freeman Mbowe wiki chache zijazo, ambazo duru za ndani zinasema Mbowe anategemewa kujitoa Chadema ili kuhamia rasmi CHAUMMA na kubeba jukumu la kugombea urais kupitia chama hicho.
Muda ni mwalimu mzuri.
Hata fazeri.Mazeri naona afya imetikisika
Karne hii bado upo katika kapu la ukabila.Wachaga wanfahamika kuanzia Mrema, Mbatia na sasa Mbowe hakuna jipya kutoka kwa wachaga.
Mbowe ni kibaraka na dalali kama alivyo mwanafunzi wake Zitto hata mfuasi wake Ngongo anajua kama boss wake ni dalaliNothing happens for no reason. Kiprotocali, niambieni nini kinaweza kutoa fursa ya picha kama hii Kwa Mh Mbowe ?
Wote wakae afu Mwamba asimame nyuma peke ake as a king ?
Sio hivyo tu , presida mwenyewe aamuke asimame na mwamba peke Yao kama wafalme wawili wenye mamlaka kamili wamekutana ?
Lazima Kuna agenda , iwe ni Kwa kujua au kutokujua. Hili sio tukio la kawaida Kwa event ya Leo.
Mambo makubwa 2 yanawezekana.
1: Staged attention kuzima moshi wa Jana wa Gwajima na Mzuki mpya aliotaka kutusikiliziaha Pole pole Leo. Ikiwa Ina maana Mh Mbowe amekubali kua ni kibaraka au dalali kama vijana wa kijiweni wanvyomuita au
2: Kuna jambo Mungu anataka kulifanya kupitia harmonization hii. Tukio hili ni kama Kuna wingu limefunguka kuruhusu agenda ya reconciliation kuendelea. Kama option hii ndo lengo , Mungu bariki or else ni giza nene, usariti, na huzuni Kwa wanahatakati wa NRNE .
Kwahiyo Mbowe ndio kamweka ndani Lissu ?.
Lissu amekaa gerezani miezi mitatu only.
Mbowe amekaa gerezani miezi nane,leo unamwita Msaliti ?.
Mbowe mashamba yake na biashara zake zimevurugwa leo unamwita msaliti kwasababu kaudhuria uzinduzi wa dira ya maendeleo !.
Wakati Mbowe anatukanwa anabagazwa anachafuliwa kwa kila aina ya matusi mlikaa kimya mkiwasifu wachafuaji.
Nothing happens for no reason. Kiprotocali, niambieni nini kinaweza kutoa fursa ya picha kama hii Kwa Mh Mbowe ?
Wote wakae afu Mwamba asimame nyuma peke ake as a king ?
Sio hivyo tu , presida mwenyewe aamuke asimame na mwamba peke Yao kama wafalme wawili wenye mamlaka kamili wamekutana ?
Lazima Kuna agenda , iwe ni Kwa kujua au kutokujua. Hili sio tukio la kawaida Kwa event ya Leo.
Mambo makubwa 2 yanawezekana.
1: Staged attention kuzima moshi wa Jana wa Gwajima na Mzuki mpya aliotaka kutusikiliziaha Pole pole Leo. Ikiwa Ina maana Mh Mbowe amekubali kua ni kibaraka au dalali kama vijana wa kijiweni wanvyomuita au
2: Kuna jambo Mungu anataka kulifanya kupitia harmonization hii. Tukio hili ni kama Kuna wingu limefunguka kuruhusu agenda ya reconciliation kuendelea. Kama option hii ndo lengo , Mungu bariki or else ni giza nene, usariti, na huzuni Kwa wanahatakati wa NRNE .
Nimeielewa,ubelgiji alikuwa lisu mbowe akiwa ndani prison za tz lisu yuko ndani prison za tz, handshake zao naamini zinaumuhimu
uko sahihi ni kinyume chake trust me ,ila makubaliano yao samia na mbowe hayana uzito ,dunia is working until lisu is out..lakini Lissu alimtetea Mbowe.
..Na alisafiri nchi mbalimbali za ulaya kumsemea Mwenyekiti wake.
..mara alipokutana na Rais Samia Ubelgiji, Lissu alisema amemueleza Rais kuwa Mbowe hana hatia.
Mbona mbowe alivyotoka wakiona a na Lissu ?KILA MTU apambane na yake HIYO inaitwa. Tashangaa SANA lisu AKITOKA jela mbowe Aende kumsalimu itanifikirisha sana