Pre GE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio Mungu,Je aliharibu kipi? Hadhi ya Dar na Zanzibar ni sawa? Ardhi Tanznaia hii imeisha Hadi nyie wa Dar mseme hamna Ardhi?

Mwisho mwambieni Lisu atubu kabla hajapokea stahiki ya matendo yake ya ubaguzi,chuki na uzushi.
 
Baki na ujinga wako wa kuishi mawazo ya Nyerere ya mwaka 47, humwamini hata babu yako ila unaamini akili ya Nyerere pekee, sijui hata shule ulienda kufanya nini kama bado huna akili, tuonyeshe mtu kutoka bara ambaye ameajiriwa Zanzibar na ana haki zote kama wao huku hata kwenye Wizara ambazo siyo za muungano
 
Lisu siyo mjinga kama nyie UWT, mimi siwezi kuishi mawazo ya mtu alifariki 1999 kama vile sina akili, kwanini wewe unaruhusiwa kununua ardhi Kilimanjaro na wakati ardhi ni kidogo? acha ujinga amka, kama Tanzania ni moja kwanini mimi nizuiwe kumiliki ardhi Zanzibar lakini mzanzibar anaweza kumiliki ardhi popote pale Tanzania? taja faida za muunga kwa mtu wa bara
 
Kati ya Lisu na Nyerere unadhani wewe nani anastahili Kufuata mawazao yake?

Lisu Toka amezakiwa Hadi anazeeka Kuna jema lolote amewahi lisema kwenye Nchi hii?

Kote anakopita Lisu anakuta maendeleo ila inakuaje anasema hakuna kilichofanyika? Huyo ni mzima au mgonjwa wa akili? Ndio unataka tumfuate huyo? Labda mpumbavu kama wewe.
 
Mawazo ya Plato yanatumika Hadi Kenyo alifariki lini? Jione ulivyo mpumbavu
 
unafahamu hata mchawi anashiriki kwenye msiba wako na vilio juu.
 
Sasa kwanini walifutwa kazi. Kosa lao kumsaidia binadam mwenzao. Hayo ndio mambo ya kukemea. Tunataka kudhibiti Moshi bila kudhibiti moto
Ndio uelewe sasa kwamba Kuna watu na binadamu.

Samia mwenyewe alisutwa na uvumi uliwahi enezwa anataka kujiuzulu ila akawekwa sawa.

Lakini haya Kwa bwana Lisu sio jambo la msingi kwake ila chuki , matusi na ubaguzi ndio msingi.
 
Lissu ajibiwe kwa hoja sio upuuzi huu unaoongea
 
🚮
 
aliekuambia huwezi kumiliki ardhi Zanzibar ni nani..?
Wewe hata Nyumba hauna.. unaongeza kama mtu ambaye amepanga kichumba...
Watu wa aina yako hutumia maneno ya kujifananisha wanacho kumbe hawana..

Usilete ushabiki katika mambo Muhimu unless uwe Mzanzibar..

Makamu wa pili wa Rais Zanzibar alitoa ufafanuzi kabisa kuhusu umiliki wa Ardhi Zanzibar halafu wewe unaleta ushabiki..
 
wahenga walisema,
nanukuu....

"hakuna jema kwa mwanadamu"

mwisho wa kunukuu.
sasa, huyo muungwana ni kielelezo kimojawapo mwa tafsiri za maana ya msemo huo wa wahenga, jamaa hana shukran kabisaa 🐒
 
Unajua kama hata vocha sasa zimepanda bei?

Badala ya elfu 1 sasa hivi ni elfu 1 na 100
 
Kwa hivyo mleta mada, kwa kigezo hicho mleta mada kwamba Samia alikwenda kumsalimua Lissu hosp ndio kusema hiyo ndio tiketi Samia akifanya uzembe Lisu hapaswi tena kumkosoa?!
Kwa mfano Samia kamteua Mzenji Shaka kuwa mkuu wa wilaya huku Tanganyika wakati hicho sio cheo cha ki muungano...hiyo sio sawa.
Kwa kifupi Lissu sio mnafki anapaswa kupongezwa badala ya kubezwa!.
 
Mawazo ya Plato yanatumika Hadi Kenyo alifariki lini? Jione ulivyo mpumbavu
Achana na mambo ya kijinga ya kumtukuza mtu tumia akili yako, ulienda shule kufanya nini kama unaishi kwa kutegemea mawazo ya mtu? nipe faida 5 za huu muuungano fake kwa watu wa bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…