Pre GE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Narudia tena, mbona Israel Hana Cha kupoteza kwa kutoungana na aliye karibu naye? Mbona Korea Kusini hajaungana na Korea Kaskazini na ana uchumi bab kubwa?
Narudia tena Israel Yuko mfukoni Kwa Beberu USA.
 
Chama Cha siasa kiwe na kazi ya kubalance dini, ama unadhani Kila mtu anaendekeza hizo imani za kujazana woga?
 
Chama Cha siasa kiwe na kazi ya kubalance dini, ama unadhani Kila mtu anaendekeza hizo imani za kujazana woga?
Ndio ni kazi ya chama Cha siasa ,ndio maana mtazidi kukataliwa miaka na miaka Hadi hapo mtakapokuwa chama Cha Kitaifa na sio chama Cha kidini
 
Unaongelea serekali au vyama vya siasa? Kwahiyo unaposema cdm ina udini unaamanisha ni serekali au umevurugwa? Hebu kaa kimya pls.
 
Unaongelea serekali au vyama vya siasa? Kwahiyo unaposema cdm ina udini unaamanisha ni serekali au umevurugwa? Hebu kaa kimya pls.
Chama Cha Chadema kina udini(Wakristo),Serikali ya CCM na chaka chake hakina udini.
 
Watanganyika wanataka kuongozwa na mtanganyika . Watanganyika hawataki rais wa kupachikiwa .
 
😁😁tumia akili wewe🐸👈, watu wanajiandaa na kampeni sasa asipo mtukana mama atamtukana nani tukutane 2025.😜
 
Apa atamimi najionaga chura yaani awa wanashikilia nchi mbili kwa wakati mmoja afu tunachekelea.
Watanganyika wanataka kuongozwa na mtanganyika . Watanganyika hawataki rais wa kupachikiwa .
 
Ujinga ni kujiaminisha kuwa Samia alienda Nairobi kumjulia Hali Lissu bila go ahead ya jiwe.
 
Utaratibu wa Muungano uko wazi kwenye makubaliano yaliyofanywa baina ya Viongozi waasisi wa Tanganyika na Zanzibar

Hili la ubaguzi na kutaka kuivunja hii Nchi ni Kwa faida ya nani na ili iwaje?
Makubaliano ya kibinafsi na kipumbavu kabisa, hayana tija tena kwa wakati huu na wakati ujao.
 
haha! sasa kaa hivyohivyo nakujiona unaakili kumbe zwazwa kazi kupiga kelele mitandaoni tu ndo kujiita waelevu!.. kwakuwa umekuja kimatusi nami naserereka nawewe hivyohivyo kenge kabisa!
Acha ubishi usio na tija, huwezi kumiliki ardhi Zanzibar kama wewe si mzanzibari
 
Kwa mujibu wa Machadomo labda
Hayo ya Machadomo ni ya kwenu mliokubali kutawaliwa na ujinga wa wanasiasa na ukada wa hayo mavyama yenu. Kiuhalisia Muungano una changamoto lukuki, zisipotatuliwa utavunjika tu, iwe leo au kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…