Pre GE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..Samia Suluhu alianza kumkebehi Lissu wakati wa kampeni kwa ile kauli ya " risasi tatu. "

..mtu muungwana aliyemuona Lissu akiwa mahututi hospitali hawezi kumtolea kebehi kama alivyofanya Samia Suluhu.

..kama Samia ni mtenda haki kama anavyotaka watu waamini alipaswa kuunda TUME YA KIJAJI YA UCHUNGUZI kufuatilia nani wamehusika ktk jaribio la kumuua Lissu.
 
Hayo ya Machadomo ni ya kwenu mliokubali kutawaliwa na ujinga wa wanasiasa na ukada wa hayo mavyama yenu. Kiuhalisia Muungano una changamoto lukuki, zisipotatuliwa utavunjika tu, iwe leo au kesho
Wacha longolongo wewe nyumbu wa Chadema.

Hasara ya Muungano ni ipi?
 
Acha kumsingizia Samia
 
..Ssh ni mwanasiasa laghai, na si muungwana kama chawa wake mnavyotaka tuamini.
Sawa ila uungwana ni vitendo sio maneno picha na matendo yanaongea wewe waweza ropoka chochote kumhusu
 
Masahihisho: Samia hakwenda Kenya kumuona Lissu, alienda kwenye Kikao cha viongozi ila akapitia hospitali kumuona Lissu baada ya kusutwa na viongozi wa nchi zingine, alienda kwa aibu tu.

Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyefunga safari kumuona Lissu Nairobi moja kwa moja kutoka Tanzania.
 
Kwa hiyo hizo picha hapo ulienda wewe si ndio? Zero brain.

Always Waislamu ni waungwana,huyo Mwinyi ndio alikuwa anampakaza Jiwe sifa kemkem ili amkumbuke mwanae.
 
Machawa Ni wachonganishi Sana. Samia Kwa kunywa chake alisema NI Mzanzibar
Na kitambulisho chake Kinamtambua Kama Mzanzibar. Sasa shida nini
 
binafsi nimegundua kwamba ,tundulisu anasemwa na hawa wajinga kama mleta mada

Kwamba
Mheshimiwa sana Tundulisu amekuwa na utaratibu wa kusema sheria na katiba ya nchi kwamba mbovu

Hivyo
Kwenye hayo mambo samia lazima atajwe sababu kwenye hayo mambo samia nikielelezo ,mlitaka ataje mkunda wakati sio rais wa nchi ni mkuu wamajeshi tupunguze ujinga
 
Machawa Ni wachonganishi Sana. Samia Kwa kunywa chake alisema NI Mzanzibar
Na kitambulisho chake Kinamtambua Kama Mzanzibar. Sasa shida nini
Ubaguzi mnaoeneza,chuki mnazohubiri haikubaliki.

Mtakuja kukatana mapanga sababu ya kushabikia upumbavu wa huyo kibaraka wa Wazungu, Watoto wake ni raia wa USA sijui wa kwako ni raia wa wapi 😁😁
 
Kwa hiyo hizo picha hapo ulienda wewe si ndio? Zero brain.

Always Waislamu ni waungwana,huyo Mwinyi ndio alikuwa anampakaza Jiwe sifa kemkem ili amkumbuke mwanae.
Sijasema hakufika hospitali, ila hakwenda kumuona Lissu
 
Personal attack za identity za Samia ndio Katiba ya Nchi sio?

Mtakuja kukatana mapanga na ndugu zenu sababu ya huyo kibaraka wa Wazungu, Watoto wake wako Nje na yeye ana sehemu ya kukimbilia.

Endelea kuchekelea upumbavu
 
Kwa CCM hicho ni kigezo kikubwa sana. Ndio maana hatuna bunge kwa sababu Tulia aliwekwa na Rais
 
What kind of Uzembe are you talking about?

Lisu si anahubiri chuki? Ni uzembe wa Samia au?
 
Personal attack za identity za Samia ndio Katiba ya Nchi sio?

Mtakuja kukatana mapanga na ndugu zenu sababu ya huyo kibaraka wa Wazungu, Watoto wake wako Nje na yeye ana sehemu ya kukimbilia.

Endelea kuchekelea upumbavu
Jibu swali hili mjinga mwingine

Sheria kuhusu rasilimali za nchi ,iliyesaini ili zibadilike na dp wold waziendeshe watakavyo ni mama ako wewe au rais wanchi

Nakama
RAIS WA nchi anaitwa nani?
 
Jibu swali hili mjinga mwingine

Sheria kuhusu rasilimali za nchi ,iliyesaini ili zibadilike na dp wold waziendeshe watakavyo ni mama ako wewe au rais wanchi

Nakama
RAIS WA nchi anaitwa nani?
Kwani sheria ni biblia au msahafu? Mbona zinabadilishwa Kila siku Ili ku suit mazingira ya kibiashara ya wakati husika in case zinazuia badala ya kusaidia? Hapo Cha ajabu ni kipi?

Kwa hiyo wewe ulitaka kama.sheria zinakwamisha wawekezaji ziachwe au? Acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…