Pambafu kabisa wewe, hiyo ndiyo faida ya Muungano.Moja na LA msingi ni kuzaliwa Taifa la Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambafu kabisa wewe, hiyo ndiyo faida ya Muungano.Moja na LA msingi ni kuzaliwa Taifa la Tanzania.
Wewe kwako faida ya Muungano ni ipi na hasara ni ipi? BoyaPambafu kabisa wewe, hiyo ndiyo faida ya Muungano.
Wacha longolongo wewe nyumbu wa Chadema.Hayo ya Machadomo ni ya kwenu mliokubali kutawaliwa na ujinga wa wanasiasa na ukada wa hayo mavyama yenu. Kiuhalisia Muungano una changamoto lukuki, zisipotatuliwa utavunjika tu, iwe leo au kesho
Acha kumsingizia Samia..Samia Suluhu alianza kumkebehi Lissu wakati wa kampeni kwa ile kauli ya " risasi tatu. "
..mtu muungwana aliyemuona Lissu akiwa mahututi hospitali hawezi kumtolea kebehi kama alivyofanya Samia Suluhu.
..kama Samia ni mtenda haki kama anavyotaka watu waamini alipaswa kuunda TUME YA KIJAJI YA UCHUNGUZI kufuatilia nani wamehusika ktk jaribio la kumuua Lissu.
Acha kumsingizia Samia
Sawa ila uungwana ni vitendo sio maneno picha na matendo yanaongea wewe waweza ropoka chochote kumhusu..Ssh ni mwanasiasa laghai, na si muungwana kama chawa wake mnavyotaka tuamini.
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news.
Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na kumfanyia ubaguzi wa kikabila na kimaeneo.
Lisu amejivika kilemba na kuwa champion wa kueneza chuki na ubaguzi Kwa Samia kana kwamba Kuna baya amelifanya.
Ikumbukwe kwamba, Ubinafsishaji wa Bandari sio kuuza na unalenga kudhibiti waliogeuza Bandari ya Dar shamba la bibi.
Ieleweke wazi kwamba Masai hawajafukuzwa Bali wamehamishiwa Kwa staha na fidia kupisha uhifadhi ya Ngorongo ambayo ilishaanza kuharibiwa na Wingi wa watu kinyume na sheria za kuanzishwa kwake.
Ikumbukwe Muungano haukusainiwa na Samia yeye kazi yake ni kuulinda ila Lisu anataka Samia auvunje, haiwezekani.
Ieleweke kwamba Asili za Watu wa Tanzania ni kutoka sehemu tofauti za Dunia ila Lisu anataka Samia ajigeuze abadili historia yake au?
Ieleweke Lisu alikimbia Nchi na Samia huyu huyu anaemtukana ndio amerenesha mazingira sawia ya uhuru wa kujieleza ila Lisu anamtusi.
View: https://twitter.com/PMadeleka/status/1792878597406855471?t=3j4TQ1NiLX56_gebKNSJFg&s=19
My Take
Ni wazi huyu bwana asiye na jema hakupaswa kuhurumiwa,waliojitosa kumsaidia wengine walifutwa kazi na wengine walidharirishwa na kusutwa ila Shukrani yake ni dhihaka.
Bora mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi, binadamu hapana.
Pole sana Samia,pole sana Tanzania.
Lisu na chama chake tuwakatae , Mwalimu alionya huu ubaguzi Toka kitambo.
Kwa hiyo hizo picha hapo ulienda wewe si ndio? Zero brain.Masahihisho: Samia hakwenda Kenya kumuona Lissu, alienda kwenye Kikao cha viongozi ila akapitia hospitali kumuona Lissu baada ya kusutwa na viongozi wa nchi zingine, alienda kwa aibu tu.
Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyefunga safari kumuona Lissu Nairobi moja kwa moja kutoka Tanzania.
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news.
Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na kumfanyia ubaguzi wa kikabila na kimaeneo.
Lisu amejivika kilemba na kuwa champion wa kueneza chuki na ubaguzi Kwa Samia kana kwamba Kuna baya amelifanya.
Ikumbukwe kwamba, Ubinafsishaji wa Bandari sio kuuza na unalenga kudhibiti waliogeuza Bandari ya Dar shamba la bibi.
Ieleweke wazi kwamba Masai hawajafukuzwa Bali wamehamishiwa Kwa staha na fidia kupisha uhifadhi ya Ngorongo ambayo ilishaanza kuharibiwa na Wingi wa watu kinyume na sheria za kuanzishwa kwake.
Ikumbukwe Muungano haukusainiwa na Samia yeye kazi yake ni kuulinda ila Lisu anataka Samia auvunje, haiwezekani.
Ieleweke kwamba Asili za Watu wa Tanzania ni kutoka sehemu tofauti za Dunia ila Lisu anataka Samia ajigeuze abadili historia yake au?
Ieleweke Lisu alikimbia Nchi na Samia huyu huyu anaemtukana ndio amerenesha mazingira sawia ya uhuru wa kujieleza ila Lisu anamtusi.
View: https://twitter.com/PMadeleka/status/1792878597406855471?t=3j4TQ1NiLX56_gebKNSJFg&s=19
My Take
Ni wazi huyu bwana asiye na jema hakupaswa kuhurumiwa,waliojitosa kumsaidia wengine walifutwa kazi na wengine walidharirishwa na kusutwa ila Shukrani yake ni dhihaka.
Bora mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi, binadamu hapana.
Pole sana Samia,pole sana Tanzania.
Lisu na chama chake tuwakatae , Mwalimu alionya huu ubaguzi Toka kitambo.
Ubaguzi mnaoeneza,chuki mnazohubiri haikubaliki.Machawa Ni wachonganishi Sana. Samia Kwa kunywa chake alisema NI Mzanzibar
Na kitambulisho chake Kinamtambua Kama Mzanzibar. Sasa shida nini
Sijasema hakufika hospitali, ila hakwenda kumuona LissuKwa hiyo hizo picha hapo ulienda wewe si ndio? Zero brain.
Always Waislamu ni waungwana,huyo Mwinyi ndio alikuwa anampakaza Jiwe sifa kemkem ili amkumbuke mwanae.
Personal attack za identity za Samia ndio Katiba ya Nchi sio?binafsi nimegundua kwamba ,tundulisu anasemwa na hawa wajinga kama mleta mada
Kwamba
Mheshimiwa sana Tundulisu amekuwa na utaratibu wa kusema sheria na katiba ya nchi kwamba mbovu
Hivyo
Kwenye hayo mambo samia lazima atajwe sababu kwenye hayo mambo samia nikielelezo ,mlitaka ataje mkunda wakati sio rais wa nchi ni mkuu wamajeshi tupunguze ujinga
Hapo hospital alienda kukuona weweSijasema hakufika hospitali, ila hakwenda kumuona Lissu
Kwa CCM hicho ni kigezo kikubwa sana. Ndio maana hatuna bunge kwa sababu Tulia aliwekwa na RaisKwa hivyo mleta mada, kwa kigezo hicho mleta mada kwamba Samia alikwenda kumsalimua Lissu hosp ndio kusema hiyo ndio tiketi Samia akifanya uzembe Lisu hapaswi tena kumkosoa?!
Kwa mfano Samia kamteua Mzenji Shaka kuwa mkuu wa wilaya huku Tanganyika wakati hicho sio cheo cha ki muungano...hiyo sio sawa.
Kwa kifupi Lissu sio mnafki anapaswa kupongezwa badala ya kubezwa!.
Ubaguzi wowote haufaiHivi mimi nikiitwa masai au mchaga nakuwa nibaguliwa? wewe una kitambulisho cha mzanzibar na unaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar? acheni ujinga Lissu kaongea fact
What kind of Uzembe are you talking about?Kwa hivyo mleta mada, kwa kigezo hicho mleta mada kwamba Samia alikwenda kumsalimua Lissu hosp ndio kusema hiyo ndio tiketi Samia akifanya uzembe Lisu hapaswi tena kumkosoa?!
Kwa mfano Samia kamteua Mzenji Shaka kuwa mkuu wa wilaya huku Tanganyika wakati hicho sio cheo cha ki muungano...hiyo sio sawa.
Kwa kifupi Lissu sio mnafki anapaswa kupongezwa badala ya kubezwa!.
Jibu swali hili mjinga mwinginePersonal attack za identity za Samia ndio Katiba ya Nchi sio?
Mtakuja kukatana mapanga na ndugu zenu sababu ya huyo kibaraka wa Wazungu, Watoto wake wako Nje na yeye ana sehemu ya kukimbilia.
Endelea kuchekelea upumbavu
Kwani sheria ni biblia au msahafu? Mbona zinabadilishwa Kila siku Ili ku suit mazingira ya kibiashara ya wakati husika in case zinazuia badala ya kusaidia? Hapo Cha ajabu ni kipi?Jibu swali hili mjinga mwingine
Sheria kuhusu rasilimali za nchi ,iliyesaini ili zibadilike na dp wold waziendeshe watakavyo ni mama ako wewe au rais wanchi
Nakama
RAIS WA nchi anaitwa nani?