Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost.

Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar wachache na machawa kama akina Kikwete nadhani kuna watu wengi wameacha kujitaabisha kumshauri.

Urais kajitangaza kujifurahisha, Bunge feki kazindua kujidanganya, Baraza kaunda kujifurahisha na hiyo Kamati yake feki kaunda kujidanganya. Tena anajidanganya hata cheo cha Stergomena Tax akifikiri that one protects Tax from evil?

Narudia kauli ya Dada wa Taifa, Mange. HAKUNA URAIS WA SAMIA. Hizi ni mbio za sakafuni tu. Hawezi kuua watu wetu wengi hivyo tena na eti iishe tu hivi hivi…sisi wala hatuogopi tena kifo.

YOU CAN’T EAT YOUR CAKE AND HAVE IT.

Jitayarishe na consequences nywinywinywi wewe🚮🚮🚮🚮
 
We kama huogopi kufa mbona mpaka sahiz hujafa kwa uzalendo? Mtafte mikutanoni mbele yake jimwagie mafuta jipige moto bila ya kupiga kelele kuonyesha msisitizo.

Huyo mange mwenyew anasisitiza tuandamane kuja bongo kuongoza maandamano hataki wasije kumbagaza na kumbananga. We unamuona yule kila siku napreach maandamano mitanadaon mjinga?
 
Mbwaaa wewe nitolee ushenzy hapa🚮🚮🚮🚮
 
We kama huogopi kufa mbona mpaka sahiz hujafa kwa uzalendo? Mtafte mikutanoni mbele yake jimwagie mafuta jipige moto bila ya kupiga kelele kuonyesha msisitizo.

Huyo mange mwenyew anasisitiza tuandamane kuja bongo kuongoza maandamano hataki wasije kumbagaza na kumbananga. We unamuona yule kila siku napreach maandamano mitanadaon mjinga?
We mbona uweki utambulisho wako real apa we si unasimu udhalimu ktk serikali yako ya kidhalimu jiami i weka detail zako upewe pongez
 
Hicho kichaka chenu cha mbona wewe hujafa kimishafyekwa, wapi duniani Kuna serikali iliwahi kuua nchi nzima??ukombozi ndivyo ulivyo Kuna wazuri kuongea watahamasisha wenye ujasiri wa kutenda , na Kuna wenye ujasiri wa kutenda lakini sio wazuri kuhamasisha , mwisho wa Siku hakuna atakae ishi milele , hata wewe Nina uhakika bila hata kuandamana lakini hautomaliza mwezi wa January 2026
 
We kama huogopi kufa mbona mpaka sahiz hujafa kwa uzalendo? Mtafte mikutanoni mbele yake jimwagie mafuta jipige moto bila ya kupiga kelele kuonyesha msisitizo.

Huyo mange mwenyew anasisitiza tuandamane kuja bongo kuongoza maandamano hataki wasije kumbagaza na kumbananga. We unamuona yule kila siku napreach maandamano mitanadaon mjinga?
Polepole yuko wapi?
 
Polepole yuko wapi?
Hilo swal mm siwez kujibu mana mm mwenyew nauliza kama wewe tu. Kuna perspective nyingi sana ndani yake

Kuna watu hawqqmin kwqnza kutawaliwq na mwanamke

Kuna wqtu hawaamin kama huu muungano una maana

Kuna watu wan allergy na watu wa kusini na maeneo ya pwani

Kuna watu wqnaamini uislam peke yake ni barrier na failure

Mama ameharibu lakin anakosa njia sahih ya kuamua mana hizi pressure za watu wa mitazamo hiyo ni kubwa. Mm najua kabisa mama kama angekuw mtu w kaskazin sahiz yote haya taswira ingekuwq nyingine kabisa. Uzur tunataka kuijenga demokrasia ya wote najiuliza hiz rasilimali za nchi zikitawanywa vizur zitawafikiaje wananchi maskini na kuwanufaisha 100% na wakati huo tabaka la kati litakuwa wapi muda huo?
 
Acheni unafki wakuu mnahamasisha watu wakafe nyie mmejifungia, shida mnashindwa kuelewa nyakati kinachotakiwa hapa ni katiba zaidi kuliko mapinduzi. Katiba haiwez kubadilishwa watu wakiingia barabarani kupigana mana linaloingia mtaani hilo ni tabaka la chini zaidi. Na haohao hawakunufaika sawia hata alipokuwa madarakan magufuli mana tabaka la kati nalo ni harmful kwao

Ufisadi bongo unafanywa na layer zote, kuanzia waziri wa uchukuzi, contactors, injinia, masuplier mpaka mafundi na walinzi. Namna ya kushinikiza kwa mm naona bora sms na barua zingetumwa katika mabalozi na maofisi ya kimataifa kwa wingi kuweka presha. Kuliko kuwambia watu wakakandane na polisi, polisi wenyew tabaka la chini au kati nao wanatetea ugali wao
 
We mbona uweki utambulisho wako real apa we si unasimu udhalimu ktk serikali yako ya kidhalimu jiami i weka detail zako upewe pongez
Njoon Unguja huku niwapake mafuta ya nazi bichi hapa niwashughulikie mm
 
Hilo swal mm siwez kujibu mana mm mwenyew nauliza kama wewe tu. Kuna perspective nyingi sana ndani yake

Kuna watu hawqqmin kwqnza kutawaliwq na mwanamke

Kuna wqtu hawaamin kama huu muungano una maana

Kuna watu wan allergy na watu wa kusini na maeneo ya pwani

Kuna watu wqnaamini uislam peke yake ni barrier na failure

Mama ameharibu lakin anakosa njia sahih ya kuamua mana hizi pressure za watu wa mitazamo hiyo ni kubwa. Mm najua kabisa mama kama angekuw mtu w kaskazin sahiz yote haya taswira ingekuwq nyingine kabisa. Uzur tunataka kuijenga demokrasia ya wote najiuliza hiz rasilimali za nchi zikitawanywa vizur zitawafikiaje wananchi maskini na kuwanufaisha 100% na wakati huo tabaka la kati litakuwa wapi muda huo?
Jamaa hujajipa muda kutafakari vitu kwa mapana yake.
Mbowe wa Kaskazini wa CDM iliyojaa wanachama, wakereketwa na shabiki toka Kaskazini wamemkataa kuwaongoza kwenye chama chao.
Mkapa mtu wa Kusini na hakupigwa kama Samia.
Huu ni muda wa kujitathimini kwanini anakataliwa kiasi hicho?
Siyo muda wa kutafuta wa kumlaumu kwa makosa yake au udhaifu wake.
 
Jamaa hujajipa muda kutafakari vitu kwa mapana yake.
Mbowe wa CDM iliyojaa wanachama, wakereketwa na shabiki toka Kaskazini wamemkataa kuwaongoza kwenye chama chao.
Mkapa mtu wa Kusini na hakuoibgea kama Samia.
Huu ni muda wa kujitathimini kwanini anakataliwa kiasi hicho?
Siyo muda wa kutafuta wa kumlaumu kwa makosa yake au udhaifu wake.
Sci3ntist speak with facts, quantified data. Hiki kinachogombaniwa sasa ni matokeo ya Ukoloni na mifumo ya kibepari iliyopandikizwa. Maeneo ambayo mama anapingwq sana ni maeneo ambayo watu wake ni tabaka la kati zaidi. Na huku chini watu wanaoelezewa kuwa watanufaika hawajawah kunufaika na mabadiliko yoyote ya siasa yaliyowah kufanywa hapa Tanzania.

Achievement ambayo tumeipata mpaka sasqhiv ni kwqmba kumekuwq na wimbi kubwa la vijana waliosoma hawana ajira na hawa ndio wanaotoa idad kubwa sana ya vijana wenye muamko wa kudai rasilimali ambazo zinaonenana kunufaisha watu wachache zaidi nchjni kimikakati.

Ni muda sasa wa kuapdate tabaka la vijana na kuliruhsu liingie kwenye siasa na maamuz moja kwa moja mana pengine litafungua njia kwa wengine aidha kwa nje na ndani ya nchi. Njia sahih kwq sasa ni kuketi kuweka matakwq mezani yatekelezwe kwa kushinikiza serikali na mikakt tofaut na kuingia mitaani kuminyana makalio

Mwabuksi kaongea vizur sana, ni muda sasa wa vijana kufungua chama chenye mitazamo an maono ya miaka tuliyonayo. Zoezi la kukamia wazee wanaobagaza mali kuondoka mwaka huu au mwakani kwa shinikizo haliwez kufanikiwa kwa muundo Tanzania hii nisikikze mm mkuu
 
Zoezi la kukamia wazee wanaobagaza mali kuondoka mwaka huu au mwakani kwa shinikizo haliwez kufanikiwa kwa muundo Tanzania hii nisikikze mm mkuu
Muda na Gen-Z pekee ndiyo vitatupatia majibu ya huu mtazamo wako.
Genz wako tayari kutembea hatua moja zaidi?
Kukubali kuumia tena bila hofu? Wakiweza basi utabiri wako utakufa kifo chepesi mno Dec 2025 hii Hadi March 2026.
 
INAWEKANA MIAKA HII UNYANG'ANYI kama alivyouita Karl Marx umehit deeper mpaka tabala la kati nalo linasafa ndo mana kelele zimekuwq nyingi. Yaan hata mtu anaeingiza gari 10 auze anakutana na mikodi mikubwa zaidi na gharama kubwa kuliko akizinunua hapahapa kwa mfanya biashara mkubwa. Hii inatoa sauti kwamba Tabaka la kati na tabaka la chini wote wanamfanya kaz kulinufaisha Tabaka la juu zaidi Direct. Miaka hiyo Tabaka la chin walinufaisha Tabaka la kati na la kati likanufaisha la juu INDIRECT ways.

Shikeni maneno yangu nyie machogo
 
Back
Top Bottom