NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
Am not palmist, hii ni sayansi inaenda na mahesabu na posibility. Mvutano uliopo mpaka hapa ulipofika ni wa matabaka zaidi ukivutana kimaslahi kuliko mtu we angalia matabaka yalivyojikata hapa Tanzania kidini,kikabila, kiukanda na kijinsiaMuda na Gen-Z pekee ndiyo vitatupatia majibu ya huu mtazamo wako.
Genz wako tayari kutembea hatua moja zaidi?
Kukubali kuumia tena bila hofu? Wakiweza basi utabiri wako utakufa kifo chepesi mno Dec 2025 hii Hadi March 2026.
We usome ubepari vizur hata kwa chatgtp unavyoleta maenedeleo ya mkatiko wa kitabaka na madhara yake. Leo hii hata perspectve zinazorun kwemye vichwa vya watu kutetea upamde au kuupinga upande mwingine hautoki nje ya hapo
Angalia mfano hata wenzetu Kenya hapo! Kunyofoa viongozi wakubwa kama wale bila jaribio la kijeshi hapa bomgo bado sana. Kama magu tu alisimama kutetea maslah ya watu wa tabak la chini wakampoteza na huyu wa sasa inasemekana mfumo umemkubali maana yake mnapambana na kitu kikubwa zaidi ya kile kinachoonekana pale kwemye kiti kimekaa