Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Mbwaaa wewe nitolee ushenzy hapa🚮🚮🚮🚮We kama huogopi kufa mbona mpaka sahiz hujafa kwa uzalendo? Mtafte mikutanoni mbele yake jimwagie mafuta jipige moto bila ya kupiga kelele kuonyesha msisitizo.
Huyo mange mwenyew anasisitiza tuandamane kuja bongo kuongoza maandamano hataki wasije kumbagaza na kumbananga. We unamuona yule kila siku napreach maandamano mitanadaon mjinga?
We mbona uweki utambulisho wako real apa we si unasimu udhalimu ktk serikali yako ya kidhalimu jiami i weka detail zako upewe pongezWe kama huogopi kufa mbona mpaka sahiz hujafa kwa uzalendo? Mtafte mikutanoni mbele yake jimwagie mafuta jipige moto bila ya kupiga kelele kuonyesha msisitizo.
Huyo mange mwenyew anasisitiza tuandamane kuja bongo kuongoza maandamano hataki wasije kumbagaza na kumbananga. We unamuona yule kila siku napreach maandamano mitanadaon mjinga?
Hicho kichaka chenu cha mbona wewe hujafa kimishafyekwa, wapi duniani Kuna serikali iliwahi kuua nchi nzima??ukombozi ndivyo ulivyo Kuna wazuri kuongea watahamasisha wenye ujasiri wa kutenda , na Kuna wenye ujasiri wa kutenda lakini sio wazuri kuhamasisha , mwisho wa Siku hakuna atakae ishi milele , hata wewe Nina uhakika bila hata kuandamana lakini hautomaliza mwezi wa January 2026We kama huogopi kufa mbona mpaka sahiz hujafa kwa uzalendo? Mtafte mikutanoni mbele yake jimwagie mafuta jipige moto bila ya kupiga kelele kuonyesha msisitizo.
Huyo mange mwenyew anasisitiza tuandamane kuja bongo kuongoza maandamano hataki wasije kumbagaza na kumbananga. We unamuona yule kila siku napreach maandamano mitanadaon mjinga?
Polepole yuko wapi?We kama huogopi kufa mbona mpaka sahiz hujafa kwa uzalendo? Mtafte mikutanoni mbele yake jimwagie mafuta jipige moto bila ya kupiga kelele kuonyesha msisitizo.
Huyo mange mwenyew anasisitiza tuandamane kuja bongo kuongoza maandamano hataki wasije kumbagaza na kumbananga. We unamuona yule kila siku napreach maandamano mitanadaon mjinga?
Hilo swal mm siwez kujibu mana mm mwenyew nauliza kama wewe tu. Kuna perspective nyingi sana ndani yakePolepole yuko wapi?
Njoon Unguja huku niwapake mafuta ya nazi bichi hapa niwashughulikie mmWe mbona uweki utambulisho wako real apa we si unasimu udhalimu ktk serikali yako ya kidhalimu jiami i weka detail zako upewe pongez
Jamaa hujajipa muda kutafakari vitu kwa mapana yake.Hilo swal mm siwez kujibu mana mm mwenyew nauliza kama wewe tu. Kuna perspective nyingi sana ndani yake
Kuna watu hawqqmin kwqnza kutawaliwq na mwanamke
Kuna wqtu hawaamin kama huu muungano una maana
Kuna watu wan allergy na watu wa kusini na maeneo ya pwani
Kuna watu wqnaamini uislam peke yake ni barrier na failure
Mama ameharibu lakin anakosa njia sahih ya kuamua mana hizi pressure za watu wa mitazamo hiyo ni kubwa. Mm najua kabisa mama kama angekuw mtu w kaskazin sahiz yote haya taswira ingekuwq nyingine kabisa. Uzur tunataka kuijenga demokrasia ya wote najiuliza hiz rasilimali za nchi zikitawanywa vizur zitawafikiaje wananchi maskini na kuwanufaisha 100% na wakati huo tabaka la kati litakuwa wapi muda huo?
Sci3ntist speak with facts, quantified data. Hiki kinachogombaniwa sasa ni matokeo ya Ukoloni na mifumo ya kibepari iliyopandikizwa. Maeneo ambayo mama anapingwq sana ni maeneo ambayo watu wake ni tabaka la kati zaidi. Na huku chini watu wanaoelezewa kuwa watanufaika hawajawah kunufaika na mabadiliko yoyote ya siasa yaliyowah kufanywa hapa Tanzania.Jamaa hujajipa muda kutafakari vitu kwa mapana yake.
Mbowe wa CDM iliyojaa wanachama, wakereketwa na shabiki toka Kaskazini wamemkataa kuwaongoza kwenye chama chao.
Mkapa mtu wa Kusini na hakuoibgea kama Samia.
Huu ni muda wa kujitathimini kwanini anakataliwa kiasi hicho?
Siyo muda wa kutafuta wa kumlaumu kwa makosa yake au udhaifu wake.
Muda na Gen-Z pekee ndiyo vitatupatia majibu ya huu mtazamo wako.Zoezi la kukamia wazee wanaobagaza mali kuondoka mwaka huu au mwakani kwa shinikizo haliwez kufanikiwa kwa muundo Tanzania hii nisikikze mm mkuu