Samia Sasa Haongozi nchi, KAZI yake sasa ni Kulinda Uraisi Wake

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa.

Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli akili ya Samia haijatulia na Haziwezi kutulia Kwa miaka mitano ijayo. Hapo radio mbao zilidai alitaka kujiuzulu lakini mzee wa msoga akamkatalia.
 
Inasikitisha sana
Ruler
Governor
Leader?

Anaangukia wapi?
 
Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa.

Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli akili ya Samia haijatulia na Haziwezi kutulia Kwa miaka mitano ijayo. Hapo radio mbao zilidai alitaka kujiuzulu lakini mzee wa msoga akamkatalia.
Njia tuliyoamua kuifuata ni mbaya na hatari zaidi ya njia ambayo tumesha ipita na tunaifuata kuelekea uelekeo wq baada ya tuliouita uchaguzi na matukio yaliyofuatia.Katika akili na hali ya kawaidi nafikiri ingekuwa ni muda wa kuliponya taifa,kwa kutafuta chanzo cha tatito na kulitatua kwa dhati kwa kushirikishana kama taifa,ila kwa masikitiko tumeamua kupoteza muda kwa kuwindana kama panya.Hili linasikitisha kweli kweli!
 
Kazi tunayokubwa, nahisi Tanzania inaingia kwenye machafuko hasa baadhi ya vijana wakipata silaha
 
Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa.

Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli akili ya Samia haijatulia na Haziwezi kutulia Kwa miaka mitano ijayo. Hapo radio mbao zilidai alitaka kujiuzulu lakini mzee wa msoga akamkatalia.

Kwani kuna sikugani CCM ilifikiria maendeleo ya watu ??
 
Hata Somalia, Nigeria na Sudan zilianzia kwenye hatua hizi leo hii zimekuwa si nchi tena, zimegeuka makazi ya maharamia.
 
Jamani pazeni sauti sana sana,hawa watoto wanateswa huko balaa.Kuna mmoja ameonekana na majeraha ya kuchomwa na pasi, si sawa kabisa.

Eeee Mungu tenda jambo tupone.
 
Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa.

Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli akili ya Samia haijatulia na Haziwezi kutulia Kwa miaka mitano ijayo. Hapo radio mbao zilidai alitaka kujiuzulu lakini mzee wa msoga akamkatalia.
Kwani lini huko nyuma aliongoza nchi?
 
Back
Top Bottom