mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Njia tuliyoamua kuifuata ni mbaya na hatari zaidi ya njia ambayo tumesha ipita na tunaifuata kuelekea uelekeo wq baada ya tuliouita uchaguzi na matukio yaliyofuatia.Katika akili na hali ya kawaidi nafikiri ingekuwa ni muda wa kuliponya taifa,kwa kutafuta chanzo cha tatito na kulitatua kwa dhati kwa kushirikishana kama taifa,ila kwa masikitiko tumeamua kupoteza muda kwa kuwindana kama panya.Hili linasikitisha kweli kweli!Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa.
Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli akili ya Samia haijatulia na Haziwezi kutulia Kwa miaka mitano ijayo. Hapo radio mbao zilidai alitaka kujiuzulu lakini mzee wa msoga akamkatalia.
Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa.
Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli akili ya Samia haijatulia na Haziwezi kutulia Kwa miaka mitano ijayo. Hapo radio mbao zilidai alitaka kujiuzulu lakini mzee wa msoga akamkatalia.
Kwani lini huko nyuma aliongoza nchi?Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa.