Pre GE2025 Samia: Sherehe nyingine za Kitaifa za Wanawake Zitafanyika 2030 wakati naachia ngazi, nitawaaga katika sherehe hizo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tena time is moving very faster !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Mpinzania anapojimwambafai kuwa anashinda ila police wanakwapua kura huwa anakua amejihakikishia na nini? Juzi Tundu kabla hajashinda alishasema lazima atashinda kwa sababu ana hakika na team yake,alikua ameshaona kuwa ameshinda?

Siasa iache kama huijui
 
Kwakweli !
 
Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Kawaida,hizo ni lugha za kutishana kwenye siasa kama vile mabondia wanapokuwa ulingoni kabla ya pambano,mnapigana mikwala kwanza...
 
Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Ulevi wa madaraka hauna tofauti na wa pombe, bangi nk! Kama ujuavyo mtu akishalewa uwezo wake wa kufikiri hupungua, hivyo hayo ni matokeo ya ulevi wa madaraka!
 
Yah right. MAZA ana uhakika wa kuiba uchaguzi kama alivyofanya 2024 akisadiana na Mkwe wake.
 
Mlipigwa mnasingizia wizi

Hakuna mtu anapigwa. Wanapigwa Watanzania. No wonder Kinana aliona ujinga skaamua kukaa pembeni.

Huwezi kila siku kuimba kwa mdomo tu eti 4Rs na kusema ya 2020 na 2019 hayatajirudia lakini wakati kimatendo ndicho unachokifanya.
 
chadema tafuteni kazi zingine jipageni 2040 baada ya nchimbi kutokamadarakani
 
Jifunzeni kujua hii Dunia ni Ngum sana ,no reforms no election
 
Sasa uchaguzi wa juzi akiwemo lissu mbele ya Kamera uliona wizi wa kura kama ule wa 2020, ?
 
Hapa si sehemu ya kutoa tathmini ya ukubalika au kutokubalika - lkn wkt ukifika nitadokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…