Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis.
Watu wanajiuliza woga wake umetokana na nini? Na wanaenda mbali zaidi kuona kuwa inaonekana hajiamini na kuna kundi dogo la watu wanafaidika naye. Ambao wanahisi kama wakisema watu wachague mgombea samia anakuwa hana chance kabisa.
Wanasema ndo chanzo cha kumchukua Nchimbi kwa kuwa anaonekana anaweza ng'arisha nyota yake yeye kama yeye inasemekana amepwaya sana. Kwa sasa anatumia sana nguvu hana ushawishi wowote zaidi ya chawa wake kumshadadia kwa maslahi yao.
Ndo maana aliona Mbowe ndiye angefaa kuwa mwanachadema mwenyekiti. Sasa inaonekana hesabu nazo zimeharibika. Watu wanauliza woga wake ni nini hasa?
Tuiombee Tanganyika. Imekuwa ikikumbwa na mabalaa makubwa sana miaka ya hivi karibuni. Mungu atusikie aiponye nchi hii miaka mingi imekuwa katika laana.