Samia Suluhu anamwogopa nani kugombea nafasi ya Urais kupitia chama?

Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis.

Watu wanajiuliza woga wake umetokana na nini? Na wanaenda mbali zaidi kuona kuwa inaonekana hajiamini na kuna kundi dogo la watu wanafaidika naye. Ambao wanahisi kama wakisema watu wachague mgombea samia anakuwa hana chance kabisa.

Wanasema ndo chanzo cha kumchukua Nchimbi kwa kuwa anaonekana anaweza ng'arisha nyota yake yeye kama yeye inasemekana amepwaya sana. Kwa sasa anatumia sana nguvu hana ushawishi wowote zaidi ya chawa wake kumshadadia kwa maslahi yao.

Ndo maana aliona Mbowe ndiye angefaa kuwa mwanachadema mwenyekiti. Sasa inaonekana hesabu nazo zimeharibika. Watu wanauliza woga wake ni nini hasa?

Tuiombee Tanganyika. Imekuwa ikikumbwa na mabalaa makubwa sana miaka ya hivi karibuni. Mungu atusikie aiponye nchi hii miaka mingi imekuwa katika laana.
Samia anajua kabisa kuwa hakubaliki na kama mchakato ukifuata mkondo wa kawaida hatoboi,ameonyesha dalili zote za udikteta,ni mtu hatari sana kama akitangazwa mshidi wa Urais October watu wengi sana watapotezwa kwenye utawala wake Mungu tuepushie mbali na hili jinamizi la Kizimkazi.
 
Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis.

Watu wanajiuliza woga wake umetokana na nini? Na wanaenda mbali zaidi kuona kuwa inaonekana hajiamini na kuna kundi dogo la watu wanafaidika naye. Ambao wanahisi kama wakisema watu wachague mgombea samia anakuwa hana chance kabisa.

Wanasema ndo chanzo cha kumchukua Nchimbi kwa kuwa anaonekana anaweza ng'arisha nyota yake yeye kama yeye inasemekana amepwaya sana. Kwa sasa anatumia sana nguvu hana ushawishi wowote zaidi ya chawa wake kumshadadia kwa maslahi yao.

Ndo maana aliona Mbowe ndiye angefaa kuwa mwanachadema mwenyekiti. Sasa inaonekana hesabu nazo zimeharibika. Watu wanauliza woga wake ni nini hasa?

Tuiombee Tanganyika. Imekuwa ikikumbwa na mabalaa makubwa sana miaka ya hivi karibuni. Mungu atusikie aiponye nchi hii miaka mingi imekuwa katika laana.
Kkuna ngoosha mmoja alijitoa mhanga akitaka zichapishwe fomu zaidi ya moja
 
Back
Top Bottom