Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

Enzi zile kuna watu walikuwa wanam-dis Mandela kama wewe leo unavyotakam-dis Mbowe lkn baadae walikuja kumkumbuka.
mbowehawezi kuwa kama mandela chama tu kimemshinda itakuwa nchi?
 
Tukiacha mahaba ya vyama, au kati ya mtu na mtu kwanini inatumika nguvu kubwa kuiaminisha jamii kuwa Mbowe kaonewa ihali kesi bado inaendelea na anamawakili mahili kupata kutokea nchi hii.
Tuache sheria ichukue mkondo wake na mahakama zifanye kazi yake.
 
Mbowe kaingia dili na wenye power hajafungwa na wala hana kesi kwa kifupi kawauza Wachaga na chadema kwa nyingine tena.

Ukweli utakuja kuuona 2025 watakapodhurumiana, kwani CCM hawatokubali power sharing, …
 
Haki si tu itendeke bali ionekane inatendeka, haki inaweza kuchukua miaka 10 kutendeka je mwaka wa kwanza ilionekana?
 
Kwa kauli za Mr. DJ"tunataka aitishe mkutano na wapinzani haraka sana" acha aone makali ya Mama.
 
kama siyo gaidi atatoka na akipatikana na hatia atafungwa wasubiri tu
 
Baada ya kufa mkapa stateman aliyebaki ni mbowe! Eti unamfunga stateman alafu nchi iende thubutu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Lisu akisoma hii coment yako atakucheka kwa dharau sana
 
Si mlisema amewakomesha wote hao na mkawa mnashangilia sana?

Ok. Kwahiyo the gang na mataga kumbe bado wako ikulu?
Hangaya mwenyewe juzi kasema bado wapo ndani ya serikali.
 
usimlnganishe mandela na hawa jamaa mandela ile kichwa nyingine acha kabisa mbowe alishaonyesha udhaifu hata ndani ya chama chake kukatalia kwenye uenyekiti hataki wenzie warithi miaka nenda rudi mandela uliona anatabia hizo
Pole
 
Kwani hao wafungwa wote walioko gerezani wao sio binadamu?? Mpaka doa lionekane kwa kufungwa kwa mbowe? Kama unampenda mtuu unamshauri kablaa hajapatwa na matatizo. Mbowe akionekana na kosa sheria ichukue mkondo wake bila upendeleo.
 
Alipohojiwa na Kikeke BBC akasema ushahidi wa Mbowe gaidi uko wazi hakuingilia mahakama?
Hajaingilia mahakama labda kama hujui huo mkondo wa sheria ulivyo. Mkondo huu unaanzia kwa vyombo vya serikali kukusanya ushahidi dhidi ya mtuhumiwa. Serikali ikishajiridhisha kuwa ushahidi dhidi ya mtuhumiwa umekuwa wazi ndipo serikali humkamata mtuhumiwa na kumpeleka mahakamani. Serikali haiwezi kupeleka mahakamani mtuhumiwa ye yote kama haijapata ushahidi ulio wazi dhidi yake. Baada ya kumfikisha mtuhumiwa mahakamani, mkondo wa kisheria wa mahakama huanza na hukamilika kwa maamuzi/ hukumu ya hakimu / jaji. Serikali huwa haiingilii huo mkondo (mchakato) wa kisheria wa mahakamani.
 
Kwani hao wafungwa wote walioko gerezani wao sio binadamu?? Mpaka doa lionekane kwa kufungwa kwa mbowe? Kama unampenda mtuu unamshauri kablaa hajapatwa na matatizo. Mbowe akionekana na kosa sheria ichukue mkondo wake bila upendeleo.
Haki si tu itendeke bali ionekane inatendeka tangu mwanzo.
 
AMINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…