Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Akili zenu sijui zina nini hadi kumlinganisha Mbowe na akina Mandela, Nyerere, Mugabe, Kaunda, Samora etc enzi hizo za mapambano ya ukombozi dhidi ya tawala za ukoloni.Enzi zile kuna watu walikuwa wanam-dis Mandela kama wewe leo unavyotakam-dis Mbowe lkn baadae walikuja kumkumbuka.
Enzi hizo zilikuwa za mapambano. Hakukuwa na demokrasia wala nini kwenye mapambano hayo. Hata damu zilimwagika kwenye mapambano hayo. Sasa kama Mbowe wenu anafikiri nchi hii iko kwenye mapambano ya aina hiyo basi asijute atakapohukumiwa kuwa gaidi. Vyama vya siasa vinapogeuka kuwa vyama vya kigaidi lazima vitashughulikiwa na mkondo wa sheria.