Samia Suluhu, doa la kumfunga Mbowe halitafutika, watangulizi wako wote walilikwepa

Hujaonyesha kosa la Mbowe zaidi ya kutaka Hangaya aabudiwe,
 
Nguvu kubwa inatumiwa na Lumumba kuwaleta Kaaya, mama muuza Mbege, Mzee wa Ballistic,Kingai ili kutoa ushahidi wa

Nguvu kubwa inatumiwa na Lumumba kuwaleta Kaaya, mama muuza Mbege, Mzee wa Ballistic,Kingai ili kutoa ushahidi wa uongo[emoji1]
Nadhani ndio maana Chadema imeweka mawakili mahili ili ibaini huo ushahidi wa uongo, katika hatua hii mgewaachia akina Kibatala wafanye kazi yao.
 
kwani mbowe akiwa rais akaja akafa mtafanya nini au yule ni mtu wa chuma kama robot hafi yeye? unamaswali ya kiuchi wa kike kweli we jamaa

..huo uraisi usikamiwe, na kutafutwa kwa njia haramu, kama kutia watu ulemavu, au kuuua, kama alivyofanya bwana yule.
 
Nadhani ndio maana Chadema imeweka mawakili mahili ili ibaini huo ushahidi wa uongo, katika hatua hii mgewaachia akina Kibatala wafanye kazi yao.
Isingekuwa interview ya BBC na mama aliyoingizwa kingi na wajanja The gang kesi hii ingekuwa imefutwa zamani.
 
Ashaingia
Mbowe na Chadema wapambane na hali yao - ku prove beyond the reasonable doubt kuwa si gaidi.
Msihamishie mahakama uraiani, watu wana challenges nyingi za kimaisha ku endure.
 
Mateka wa mbowe ni kama misukule iliyofiwa na mwenyewe. Inawayawaya kila kukicha, kuingia barabarani inaogopa
 
mbna huyo raisi wako aliingilia mahakama kwa kutoa hukumu kwenye shirika la utangazaji la BBC , na kuuambia ulimwengu kuwa mbowd ni Gaidi ...

Hapo ndo nkamwomna huyu bibi kazinguaa

2025 ni mbaliii ila subiri 2023 tu hapo .....mtakavokuwa mmechoka sanaaaaaaa
 
Mbowe hafungwi, toa mashaka, ni kaupepo tu haka kanapita, Samia mwenyewe anatambua hilo! Kwanza tumemmis huku mtaani na mishemishe zake!! Mnyika (Wa siku hizi) yeye kaupiga wa Pono, nimemsikiliza Slaa juzi Azam TV, mdingi pamoja na uzee wake bado anamuacha Mnyika mbali mnoo kwa kujenga hoja na ushawishi
 
Kama sheria unafuata mkondo wake... yupo wapi babu seya???
 
Kama walivyotenda haki kwa sabaya, tunaomba haki itendeke na kwa mbowee
 
Kwa hili la Mbowe Hangaya hachomiki

Ni wewe ndiyo hautachomoka hakika
Jambo hili tunalitazama kwa machomacho yote na hila zote zitajulikana tu, Labda tunayemwamini asiwepo✌🏻🙏🏻🙏🏻
 

Nondo✅✅
 
[QUOTE="Quinine, post: 40997877, member: 24815"
Magufuli pamoja na ujeuri wake alikuwa na uwezo wa kumfanya Mbowe chochote lakini hakuthubutu, alikuwa anafanya timing ili jumba bovu lisimwangukie yeye, wewe umethubutu kwa kuingizwa kingi na wajanja.

Uongozi ni KARAMA siyo kila mtu amepewa, jitahidi kuishi na viongozi wenzako vizuri hata kama ni kiongozi wa kijiji, elewa kuna watu wako nyuma yake wanamheshimu walimchagua.

Vyovyote utakavyofanya umfunge Mbowe au umuachie lakini hilo doa kwenye utawala wako huwezi kulifuta kamwe kama vile makaburu walivyomfunga Mandela wakamwachia lakini hadi leo dunia nzima inakumbuka.
[/QUOTE]
mwendazake pamoja na ukatil wake kashindwa, inaonekana mama ni katili kupita kiasi japo anajificha kwenye kivuli cha upole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…