Samia Suluhu Hassan Hili la Humphrey Polepole Halitapita hivihivi

Limepita la Kolimba, Kigoma Malima, Ali Juma, Magufuli na wengine wengi tu
Huyo slowslow aliekula nao na kuinjoi viete zao, hana umuhimu wowote alipata alichostahili.
 
Kipindi kile yupo kwenye system alikua ana enjoy tu kaja kuuona uzalendo baada ya mambo kwenda mrama bongo kikubwa uzma tu hata leo hii ikitokea samia kikwete akatekwa watu watasema free kikwete
 
Hayo maombi sijui tunaombaje maana hatuna uhakika kama yupo hai au la?
hato ndo tujue ccm siyo watu wazuri emagne mutu mmefanya naye kazi miaka kibao lakn kaja kupotea hamna hata ccm mmoja mwenye kupaza sauti yake juu ya utekaji mpaka chadema waseme nao wanaonekana wanaiharibu nchi

Kama wananch tungekuwa naushilikiano ingeshajulikana kitambo tu wapi alipo
 
Hilo tu ndiyo sababu ya watu waliowengi kuichukia ccm, ccm ni kikundi kidogo cha mafia hata hawa wapiga kelele( machawa) mitandaoni ipo siku watalia shetani hana rafiki.

Polepole alikuwa kiongozi wao haingii akilini asiwepo hata mwana ccm yoyote wakumtetea, yaani hata wanaccm wanakiogopa chama chao. sasa hicho ni chama au ni dola?
 
Ni genge la wahuni.
 
Mbona waliopotea baada ya kutekwa ni wengi tu sio Polepole peke yake na eti ndio inasemwa kwamba jukumu la serikali ni kulinda watu na mali zao.

What a hypocrisy.
 
Back
Top Bottom