Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
ataweza kurudisha uhai wa aliyekwisha kufa?
Amina. sio kwa huyo tu. Awarudishe wote waliopotea katika kung'ang'ania kwake madaraka. Bila kuwasahau wale wa 29 Oktoba 2025, vile vifo vya vijana wetu.Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
hilo kuhusu uwezo sisi halituhusu, TUNAWATAKA WAKIWA HAI NA AFYA NJEMAataweza kurudisha uhai wa aliyekwisha kufa?
Kikubwa uzima wakati huo uzima unategemea siasa na viongozi? Uongozi mbovu unaua maelfu ya wananchi kila siku ila kwa mtu asiyejua kufikiri nje ya box ataona mambo yako sawa tu.Kipindi kile yupo kwenye system alikua ana enjoy tu kaja kuuona uzalendo baada ya mambo kwenda mrama bongo kikubwa uzma tu hata leo hii ikitokea samia kikwete akatekwa watu watasema free kikwete
Amina. sio kwa huyo tu. Awarudishe wote waliopotea katika kung'ang'ania kwake madaraka. Bila kuwasahau wale wa 29 Oktoba 2025, vile vifo vya vijana wetu.
Kaka mtu alizingua...anasema anajua alipo kwa mujibu wa jipiesi halafu hasemi alipo, sisemi kaka mtu alikuwa anaiga tabia za Kaini.yupo
Yule miyeyusho kweliKaka mtu alizingua...anasema anajua alipo kwa mujibu wa jipiesi halafu hasemi alipo, sisemi kaka mtu alikuwa anaiga tabia za Kaini.
Labda fedha ziletwe alafu zikatengeneze madawati....mmmh yaani hata sielewi.GHARAMA YA UHAI WA Humphrey Polepole ATAILIPAJE?
Ukweli kwao ni mwiko yaani kiongozi wao kila analotenda lipo sahii hakuna wakupingaHilo tu ndiyo sababu ya watu waliowengi kuichukia ccm, ccm ni kikundi kidogo cha mafia hata hawa wapiga kelele( machawa) mitandaoni ipo siku watalia shetani hana rafiki.
Polepole alikuwa kiongozi wao haingii akilini asiwepo hata mwana ccm yoyote wakumtetea, yaani hata wanaccm wanakiogopa chama chao. sasa hicho ni chama au ni dola?
Hilo ni moja tu.Yapo mengi zaidi.Kwa muda huu alivyojitawaza kuwa rais hawezi kukuelewa.Tumuombe Mungu ampe uhai ili mwaka 2031 tum-zoom atakavyokuwa anajibebabeba kwa huruma.Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
Aisee ,we kweli Makebo. Jina linasadiki.Limepita la Kolimba, Kigoma Malima, Ali Juma, Magufuli na wengine wengi tu
Huyo slowslow aliekula nao na kuinjoi viete zao, hana umuhimu wowote alipata alichostahili.
Wananchi hatulali usingizi kwa hofu ya kutekwa na kuuawa na watu waliotumwa na yeye! Iweje tumwache yeye alale usingizi!? Tutaongea hadi ajutie na kutubu.Jamani wacheni mama wawatu alale usingizi hili la huyu RPC Mtumbua macho ndio alaumiwe sana sana
Hata wewe unayemtetea ni walewale.Jamani wacheni mama wawatu alale usingizi hili la huyu RPC Mtumbua macho ndio alaumiwe sana sana
Weka akiba ya maneno,Limepita la Kolimba, Kigoma Malima, Ali Juma, Magufuli na wengine wengi tu
Huyo slowslow aliekula nao na kuinjoi viete zao, hana umuhimu wowote alipata alichostahili.