Samia Suluhu Hassan Hili la Humphrey Polepole Halitapita hivihivi

Samia Suluhu Hassan Hili la Humphrey Polepole Halitapita hivihivi

Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
Ujue mkuu, maneno ni mengi sana, sidhani kama kuna kitisho hakijawahi kutolewa kuhusu hili.
 
Hivi polepole hakuwa na mke? Sijawahi kumuona mkewe akimtafuta mumewe
 
Back
Top Bottom