Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake🥺🤔🙇🏿♂Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
Which usingizi?Jamani wacheni mama wawatu alale usingizi hili la huyu RPC Mtumbua macho ndio alaumiwe sana sana
Pole pole alitubu!Kipindi kile yupo kwenye system alikua ana enjoy tu kaja kuuona uzalendo baada ya mambo kwenda mrama bongo kikubwa uzma tu hata leo hii ikitokea samia kikwete akatekwa watu watasema free kikwete
Jinga lingine hili 👎Limepita la Kolimba, Kigoma Malima, Ali Juma, Magufuli na wengine wengi tu
Huyo slowslow aliekula nao na kuinjoi viete zao, hana umuhimu wowote alipata alichostahili.
basi tumuombee alipoPole pole alitubu!
Hayo maombi sijui tunaombaje maana hatuna uhakika kama yupo hai au la?basi tumuombee alipo
hato ndo tujue ccm siyo watu wazuri emagne mutu mmefanya naye kazi miaka kibao lakn kaja kupotea hamna hata ccm mmoja mwenye kupaza sauti yake juu ya utekaji mpaka chadema waseme nao wanaonekana wanaiharibu nchiHayo maombi sijui tunaombaje maana hatuna uhakika kama yupo hai au la?
GHARAMA YA UHAI WA Humphrey Polepole ATAILIPAJE?Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
Mungu atatenda.GHARAMA YA UHAI WA Humphrey Polepole ATAILIPAJE?
Hilo tu ndiyo sababu ya watu waliowengi kuichukia ccm, ccm ni kikundi kidogo cha mafia hata hawa wapiga kelele( machawa) mitandaoni ipo siku watalia shetani hana rafiki.hato ndo tujue ccm siyo watu wazuri emagne mutu mmefanya naye kazi miaka kibao lakn kaja kupotea hamna hata ccm mmoja mwenye kupaza sauti yake juu ya utekaji mpaka chadema waseme nao wanaonekana wanaiharibu nchi
Kama wananch tungekuwa naushilikiano ingeshajulikana kitambo tu wapi alipo
Ni genge la wahuni.Hilo tu ndiyo sababu ya watu waliowengi kuichukia ccm, ccm ni kikundi kidogo cha mafia hata hawa wapiga kelele( machawa) mitandaoni ipo siku watalia shetani hana rafiki.
Polepole alikuwa kiongozi wao haingii akilini asiwepo hata mwana ccm yoyote wakumtetea, yaani hata wanaccm wanakiogopa chama chao. sasa hicho ni chama au ni dola?
Sadhato ndo tujue ccm siyo watu wazuri emagne mutu mmefanya naye kazi miaka kibao lakn kaja kupotea hamna hata ccm mmoja mwenye kupaza sauti yake juu ya utekaji mpaka chadema waseme nao wanaonekana wanaiharibu nchi
Kama wananch tungekuwa naushilikiano ingeshajulikana kitambo tu wapi alipo