Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 22,502 Reaction score 48,479 Aug 2, 2026 #41 Ponjoro wa Kinondoni said: Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake. Click to expand... Ujue mkuu, maneno ni mengi sana, sidhani kama kuna kitisho hakijawahi kutolewa kuhusu hili.
Ponjoro wa Kinondoni said: Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake. Click to expand... Ujue mkuu, maneno ni mengi sana, sidhani kama kuna kitisho hakijawahi kutolewa kuhusu hili.
Wazolee JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 4,177 Reaction score 4,887 Aug 2, 2026 #42 Hivi polepole hakuwa na mke? Sijawahi kumuona mkewe akimtafuta mumewe