Muache aapishwe, nakuhakikishia hata chukua muda mrefu! Mark my wordYanayokuja yanafurahisha huyu ndiye wenda atakuwa dikteta wa kinga toka Dunia ianze,ila naapa huyu Mama hatoboi ndani ya utawala wake
Nina uhakika 💯, anaapishwa alafu anajiuzulu ili nchi ashike Nchimbi (makamu wake)…inshort wanalazimisha kuokoa CCM, maana akiachia ngazi sasa, inabidi serikali ya mpito iwekwe ambako kuna asilimia kubwa CCM kufutwa kama sio kutoka madarakan. Ni akili za kawaida kujua haka kamchezo wanakotaka kufanya. JWTZ have let us leo na kesho akaapishwa Nchimbi.
Bado tutamkataa Nchimbi. Kukubali ni sawa na kusema uchaguzi ulifanyika. Tunahitaji kusafisha huu uchafu wote na kuanza upya kama taifa la kisasa lenye watu wanaojitambua. Hizi takataka za Nyerere ziishe. Inatosha.Nina uhakika 💯, anaapishwa alafu anajiuzulu ili nchi ashike Nchimbi (makamu wake)…inshort wanalazimisha kuokoa CCM, maana akiachia ngazi sasa, inabidi serikali ya mpito iwekwe ambako kuna asilimia kubwa CCM kufutwa kama sio kutoka madarakan. Ni akili za kawaida kujua haka kamchezo wanakotaka kufanya. JWTZ have let us down.
Akijiuzulu sasa, maana yake sio Nchimbi atachukua nchi bali ni Philip mpango…na wao hawataki nchi ishikwe na mtu ambaye sio mwana mtandao mwenzao wasije kunyongwa au kufilisiwa.Kwanini asijiuzulu na kisha kumpisha Nchimbi aapishwe hiyo kesho?
Na hata kama akijiuzulu ataishi wapi?
Mange kimambi alisema hili, walikuwa wana negotiate na wenzao, on the table kulikuwa na options 2 ila hii kwao ndio wanaiona ni sahihi but i'm sure haitasaidia chochoteNina uhakika 💯, anaapishwa alafu anajiuzulu ili nchi ashike Nchimbi (makamu wake)…inshort wanalazimisha kuokoa CCM, maana akiachia ngazi sasa, inabidi serikali ya mpito iwekwe ambako kuna asilimia kubwa CCM kufutwa kama sio kutoka madarakan. Ni akili za kawaida kujua haka kamchezo wanakotaka kufanya. JWTZ have let us down.
Kimama hawezi jiuzulu yule. Kina Abdul hawawezi mkubalia.Akijiuzulu sasa, maana yake sio Nchimbi atachukua nchi bali ni Philip mpango…na wao hawataki nchi ishikwe na mtu ambaye sio mwana mtandao mwenzao wasije kunyongwa au kufilisiwa.
Lakini ndivyo inavyotakiwa kwani hadi sasa ni raisi mteule hivyo aweza kabisa kujizulu na kumpisha Dr Mpango.Akijiuzulu sasa, maana yake sio Nchimbi atachukua nchi bali ni Philip mpango…na wao hawataki nchi ishikwe na mtu ambaye sio mwana mtandao mwenzao wasije kunyongwa au kufilisiwa.
Kwani nini hata wahangaike kumuapisha wakati matokeo wameyatunga? Si watangaze tu kuwa keshajiapisha mwenyewe….. like….who cares kwamba kesho ataapishwa?Waseme tu ukweli. Kesha apishwa somewhere else! Hiyo kesho wanarusha video tu. Hakutakuwa na kitu chochote hapo Dodoma.