GE2025 Samia Suluhu Hassan kuapishwa kesho, Novemba 3, 2025 saa 4 asubuhi

GE2025 Samia Suluhu Hassan kuapishwa kesho, Novemba 3, 2025 saa 4 asubuhi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KURASA ZA MBELE
Ikiwa mwl. Julius Nyerere afufuke na kukutana picha hizi kibao ndani ya magazeti angeamini ?

Kurasa za ndani za gazeti la kesho asubuhi 03 November 2025 (kwa ajili ya utu wa marehemu) lakini pia kuthibitisha mauaji ya halaiki yaliyotekelezwa na vyombo vya dola kumejaa picha za miili ya watu waliouawa nchini Tanzania kufuatia maandamano dhidi ya Samia

The BOLD Standard Newspaper: Tanzania Massacre​

View: https://m.youtube.com/watch?v=goKzzIiZcjA
 
Wasimulia Ushahidi wa mauaji yanayotokea katika mfumo wa picha na video waelezewa na waalezewa waandishi, sikiliza :

View: https://m.youtube.com/watch?v=0fRm-cTatQI

Picha na video hizo zinahifadhiwa kwa kwa ajili ya hatua za kuwawajibisha wahusika wa mauaji atrocities, massacre bloodbath
 
Wala Samia hata jiuzulu. Anakwenda kutawala kwa mkono wa chuma. Hii ni kufa ama kupona kwa CCM
 
02 November 2025

BREAKING ! BAD NEWS HIT SAMIA'S FAMILY AS ICC the Hague Court DEADLY MESSAGE AFTER 500 BODIES FOUND !

1762111844163.jpeg
 
Wa-Tanganyika tuamke , huu ukuma kabisa wakutawaliwa na M-Zanzibar, Yaani Tanganyika imekuwa shamba la-Bibi, Ccm wanatukosea sana🙁
 
02 November 2025

SWIMING AND WALKING THROUGH BODIES TO CLAIM PRESIDENCY

View: https://m.youtube.com/watch?v=wSXdxNdtOsQ
Tanzania’s presidential election has descended into chaos. Official results show President Samia Suluhu Hassan securing a landslide victory — but the outcome has been overshadowed by violent protests, mass arrests, and reports of hundreds killed.

Opposition figures were jailed or barred from running, sparking outrage across the country and international condemnation from rights groups and the United Nations.

In Dar es Salaam, clashes between protesters and security forces have left a trail of destruction and fear.

Joining us live, Global Analyst Levi Mboushou breaks down the causes of the unrest, the implications for democracy and governance in Tanzania, and what steps the government must take to restore public trust.
 
INEC wamebakiwa na akili ya kuvukia barabara tu!
Hakuna mwenye akili huko.

Imagine mtu aliyeshinda kwa 98% ya kura zilizopigwa ambazo ni kutoka kwa raia milioni 31, eti ataapishwa kwenye likambi la mgambo [mimi siwaiti jeshi tena].

They’re so discombobulated they’re not thinking straight!
 
Wa-Tanganyika tuamke , huu ukuma kabisa wakutawaliwa na M-Zanzibar, Yaani Tanganyika imekuwa shamba la-Bibi, Ccm wanatukosea sana🙁
Yaani ni ujinga mkubwa sana. Huyu mama anataka kutuharibia nchi yetu then anakimbilia zake Zanzibar au Oman. Hana cha kupoteza
 
Kutoka BBC | Novemba 2, 2025

View attachment 3496601

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma.

Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga ya kitaifa ya TBC, sherehe ya uapisho itafanyika katika uwanja wa kijeshi ambapo raia wa kawaida hawatakubaliwa kuhudhuria.

TBC itarusha matangazo hayo mubashara kutoka Dodoma kwa taifa.

Rais Samia alitangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29 kwa kujinyakulia asilimia 97.66 ya jumla ya kura zote zilizopigwa.

INEC imetangaza kwamba ushindi mkubwa wa Rais Samia ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Tanzania katika awamu tano za kwanza za uongozi wa nchi hiyo.

Wapiga kura milioni 37 walisajiliwa kushiriki kwenye uchaguzi wa mwaka huu huku INEC ikisema kwamba Samia alipata jumla ya kura milioni 31.

Aidha tume hiyo imesema pia kwamba asilimia 87 ya waliosajiliwa kupiga kura walijitokeza kushiriki kwenye uchaguzi huo ambao ulishuhudia maandamano huku mji wa Dar es Salaam ukikabiliwa na amri ya kutotoka nja kati ya saa 12 jioni na saa 12 asubuhi.

..ameshinda kwa asilimia 98% halafu anaapishwa kwa kujificha? Hili ni jambo la kufedhehesha, na kuidhalilisha nchi.
 
Nina uhakika 💯, anaapishwa alafu anajiuzulu ili nchi ashike Nchimbi (makamu wake)…inshort wanalazimisha kuokoa CCM, maana akiachia ngazi sasa, inabidi serikali ya mpito iwekwe ambako kuna asilimia kubwa CCM kufutwa kama sio kutoka madarakan. Ni akili za kawaida kujua haka kamchezo wanakotaka kufanya. JWTZ have let us down.
That ain’t happening. That wicked woman is a brainless Neanderthal.

Yeye na Nchimbi wote ni wanaharamu!
 
Kutoka BBC | Novemba 2, 2025

View attachment 3496601

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma.

Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga ya kitaifa ya TBC, sherehe ya uapisho itafanyika katika uwanja wa kijeshi ambapo raia wa kawaida hawatakubaliwa kuhudhuria.

TBC itarusha matangazo hayo mubashara kutoka Dodoma kwa taifa.

Rais Samia alitangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29 kwa kujinyakulia asilimia 97.66 ya jumla ya kura zote zilizopigwa.

INEC imetangaza kwamba ushindi mkubwa wa Rais Samia ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Tanzania katika awamu tano za kwanza za uongozi wa nchi hiyo.

Wapiga kura milioni 37 walisajiliwa kushiriki kwenye uchaguzi wa mwaka huu huku INEC ikisema kwamba Samia alipata jumla ya kura milioni 31.

Aidha tume hiyo imesema pia kwamba asilimia 87 ya waliosajiliwa kupiga kura walijitokeza kushiriki kwenye uchaguzi huo ambao ulishuhudia maandamano huku mji wa Dar es Salaam ukikabiliwa na amri ya kutotoka nja kati ya saa 12 jioni na saa 12 asubuhi.

Inakuwaje Rais aliyechaguliwa kwa kishindo na watu karibu nusu ya Watanzania wote kwa 98 % ya votes ambayo ni record tangu uhuru leo anakwenda kuapishwa behind the scene...!?
 
Je umma kuletwa na malori kushuudia kutawazwa (coronation) au ni jeshi pekee watahudhuria shughuli hiyo ya siyo kuapishwa bali kunyakua na kujitawaza

02 November 2025

Scared Samia Suluhu Hassan to be inaugurated tomorrow inside a military Barack​

View: https://m.youtube.com/watch?v=SEV2y3khk9E
Source : Hloniphani Global News TV

TOKA MAKTABA :

Tumeona kule Zanzibar jinsi mwenzie alivyotawazwa mbele ya umma wa wanaCCM waliofika uwanja wa Amani Complex mjini Unguja Zanzibar.

01 November 2025
Unguja, Zanzibar

SHUGHULI YA UAPISHO WA DR. HUSSEIN MWINYI URAIS SMZ

HAFLA YA KUMUAPISHA RAIS MTEULE WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI​

View: https://m.youtube.com/watch?v=ZEZlcOs9zmE
 
Back
Top Bottom