GE2025 Samia Suluhu Hassan kuapishwa kesho, Novemba 3, 2025 saa 4 asubuhi

GE2025 Samia Suluhu Hassan kuapishwa kesho, Novemba 3, 2025 saa 4 asubuhi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Je viongozi wa nchi wanachama wa EAC na SADC watajitokeza kuhudhuria kuapishwa Samia

Tutazame historia ya umoja wa nchi 16 za SADC Lesotho, Eswatini, South Africa, Namibia, Botswana, Zimbabwe, Malawi, Mozambique, Angola, Zambia, Tanzania, Mauritius, Madagascar, The Comoros, The Seychelles and DR Congo

Je jumuiya hii kubwa ya SADC itaonesha mashikano na utawala dhalimu wa Samia

View: https://m.youtube.com/watch?v=CJy_tcHnn6Q
 
TOKA MAKTABA :

15 October 2025

Sadcmf.sadc_

File photo: SADC
In accordance with Article 3 of the revised SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections (2021), SADC shall observe all general elections held in its Member States. As per the standard practice of observing general elections in all SADC Member States, the Government of the United Republic of Tanzania invited the SADC Electoral Observation Mission (SEOM) to observe the country’s upcoming Presidential, Parliamentary and Local Government Elections (General Election) scheduled for the 29th of October 2025.

In accordance with the SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections (2021), His Excellency Professor Arthur Peter Mutharika, President of the Republic of Malawi and Chairperson of the SADC Organ on Politics, Defence and Security Cooperation, has appointed Honourable Richard Msowoya, former Speaker of Parliament of the Republic of Malawi as the Head of the SEOM.

The Chairperson of the Organ also mandated the SADC Secretariat, led by His Excellency Mr. Elias M. Magosi, the Executive Secretary of SADC, to coordinate the SEOM, including facilitation of in-country deployment of observers. The SADC Secretariat support team arrived in Dar es Salaam on 13th October 2025 to prepare logistics for the Mission.

The SEOM will observe the country’s pre-election phase, polling day and post-election processes. The Mission’s objective is to assess the conduct of the elections in accordance with the Revised SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections of (2021). These principles emphasise the importance of citizen participation in the democratic and development processes, the implementation of measures to prevent political violence, intimidation, and intolerance, and the promotion of equal opportunities for all political parties to access the State Media and for all citizens to access information. Furthermore, the Mission emphasises the importance of acknowledging and respecting the election outcomes by all political entities.
1762115976027.jpeg

To promote electoral integrity, electoral justice, good governance, peace and stability in the SADC region, and to give effect to the commitment contained in the SADC Principles and Guidelines, the launch of SEOM will include various election awareness activities for the electoral stakeholders to learn and appreciate the work of the SEOM.

Among the key activities, the SEOM will undertake consultations with a broad range of key electoral stakeholders such as the Independent Electoral Commission (IEC), relevant Government Departments, Political Parties, Diplomatic Community, Civil Society Organisations (CSOs), Non-Governmental Organisations (NGOs), Women and Youth Organisations etc., in order to gain deeper understanding of amongst other, the political and security context, the Constitutional and Legal Framework governing the elections, preparedness and readiness of the IEC to conduct the 2025 General Election.

The key activities for the SEOM programme of schedule comprises the following;

Sadcemtz.sadc_

Source: SADC
 
Je viongozi wa nchi wanachama wa EAC na SADC watajitokeza kuhudhuria kuapishwa Samia

Tutazame historia ya umoja wa nchi 16 za SADC Lesotho, Eswatini, South Africa, Namibia, Botswana, Zimbabwe, Malawi, Mozambique, Angola, Zambia, Tanzania, Mauritius, Madagascar, The Comoros, The Seychelles and DR Congo

Je jumuiya hii kubwa ya SADC itaonesha mashikano na utawala dhalimu wa Samia

View: https://m.youtube.com/watch?v=CJy_tcHnn6Q

FRONTLINE STATES / NCHI ZA MSTARI WA MBELE KUPINGA UBAGUZI, NA KULETA UKOMBOZI AMBAZO SASA NI NCHI ZA SADC ZITASIMAMIA MADHUMUNI YA JUMUIYA HIYO
 
TOKA MAKTABA :

19 Oktoba 2025

Die Hards / Wahafidhina wa Chama Cha Mapinduzi

Ngebe, Majivuno, Matamko yao kutoka Maktaba

KADA KASESERA ( MNEC )USO KWA USO NA WANAOTAKA KUANDAMANA: ADAI MAANDAMANO SIO KIPAUMBELE CHA VIJANA.​

View: https://m.youtube.com/watch?v=L0VTRSefw3I

Kada ndugu Richard Atufigwege Kasesela Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Viti 20 Tanzania Bara akizungumza kuhusu ukuu wa chama dola kongwe CCM ulioota mizizi kiasi cha kutoweza kupata chokochoko ya kungolewa kutoka kuwa chama tawala milele Tanzania

29 November 2025

GenZ Waandamana

Mgombea wa chama dola kongwe tawala leo kimetiwa aibu na vijana wadogo

Matamko, Ngepe, Jeuri, ubabe, kiko wapi sasa kuwa hakuna maandamano. Majivuno yako yako wapi mikongo na kuwadharau wenzie adabu umeipata ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=mpNrmB_Qe6U
 
Nina uhakika 💯, anaapishwa alafu anajiuzulu ili nchi ashike Nchimbi (makamu wake)…inshort wanalazimisha kuokoa CCM, maana akiachia ngazi sasa, inabidi serikali ya mpito iwekwe ambako kuna asilimia kubwa CCM kufutwa kama sio kutoka madarakan. Ni akili za kawaida kujua haka kamchezo wanakotaka kufanya. JWTZ have let us down.
Hii ina uwezekano mkubwa kutokea. Halafu watawadaganya Watanzania, tumeanza upya, uongozi mpya, tukae pamoja, tusameheane, tushirikiane tujenge nchi pamoja. Na propaganda, uongo mwingine wa aina hii.

Kama Nchimbi atachukua nchi, tutakuwa palepale ni wazi ataendelea kulinda wahuni wenzake na kuongezeka upigaji na ufisafi akitumia zaidi propaganda.
 
Pale Umoja wa Afrika AU isivyoweza kujizuia kukumbatia kimahaba ma dikteta, hivi kweli kuna haja ya AU kuwepo ?

View: https://m.youtube.com/watch?v=s3_7C96XQLg

A crime scene clade in a diplomatic language from AU in Addis Ababa claiming sovereignty of each member state of African Union

Source : Zimwaves TV and 2 more
 
Hii ina uwezekano mkubwa kutokea. Halafu watawadaganya Watanzania, tumeanza upya, uongozi mpya, tukae pamoja, tusameheane, tushirikiane tujenge nchi pamoja. Na propaganda, uongo mwingine wa aina hii.

Kama Nchimbi atachukua nchi, tutakuwa palepale ni wazi ataendelea kulinda wahuni wenzake na kuongezeka upigaji na ufisafi akitumia zaidi propaganda.
Hawezi kuachia ngazi, ana kazi na shetani bado hajaimaliza..
 
02 November 2025

TANZANIA STORY ! The Fall of Africa's Most Feared Female 'Dictator' - Samia Suluhu Hassan ​

The Fall of Africa's Most Feared Female 'Dictator' - Samia Suluhu Hassan​

View: https://m.youtube.com/watch?v=rCUJLI-4LMA
Tension is rising in Tanzania but what is really behind this protests against President Hassan Samia Suluhu Hassan ?

Who is behind this revolution? Who is Samia Suluhu Samia and why do Tanzanians want her out?

Source : Jude Bela
 
02 November 2025

  • Mexican Cartel contract to kill
  • Bodyguard wa Jakaya
  • Attempt 8 za coup zilivyosuka JWTZ / TPDF
  • Vikosi maalum toka ZNB mauaji Dar es Salaam kwa kutumia Alphard, Land Cruiser katika mavazi meusi
  • Vikosi maalum ameingizwa ktk Jeshi la Polisi la IGP Wambura aliye mateka kiaina
  • CDF Jenerali John Jacob Mkunda kizuizini Ikulu (anaishi Ikulu kudhibitiwa)

TANZANIAN ACTIVIST MANGE KIMAMBI AS EXPOSED GOVT PLOT TO ASSASSINATE HER OVER THE CURRENT DEMONSTRATION IN TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=7P7t3cqMrJI

WHERE SHE IS BEING BLAMED FOR INCITING THE PUBLIC AGAINST THE ROGUE REGIME OF SAMIA SULUHU HASSAN WHO IS PLANNING A SECRET SWEARING IN CEREMONY TOMORROW AT ONE OF THE MILITARY BARRACKS IN DODOMA TANZANIA
 
Samia naona anaiga mbinu ovu za Museveni, Abdul za Kainerugaba.

Na pia zile anazosimulia mzee Thani : Naingia Jela Mara ya Mwanzo

WaTanzania tusome sana jukwaa la Historia la JamiiForums kuna vitu vingi vitatufanya kuelewa nini cha kufanyia maamuzi sahihi, maana historia hujirudia :

Wasiojulikana yanaonekana kufanywa na watu wanaotoka upande wa pili wa nchi wa uongozi wa nchi, hal

Kanali Seif Bakari mkuu wa vikosi maalum (vyombo vya serikali) katika historia ya baada ya mapinduzi matukufu ukiisoma unaona kama yaliyotendeka yanajirudia : soma : source :
Mzee Aman Thani anaelezea yaliyomtokea baada ya Mapinduzi ya Zanzibar, mateso akiwa kifungoni baada ya kupitia Mahakama ya Mchongo yaani Kangaroo Court :

View: https://m.youtube.com/watch?v=xXlGpTGqDTM
Aman Thani Anakumbuka
· 1 Mwaka wa Mwanzo Jela
· 2 Kufungwa Miaka Kumi
· 3 Jela ya Langoni ·
4 Chakula na Magonjwa Langoni ·
5 Nimekamatwa Dar es Salaam maeneo ya Ilala...
6. Central polisi Dar es Salaam
7. Chai nzito tofauti na mahabusu wengine
8. Tumepelekwa Airwing Airport Dar es Salaam
9. Tunatiwa katika ndege ya jeshi hadi Zanzibar
10 . N.k n.k
 
Back
Top Bottom