We have no hope brotherYanayokuja yanafurahisha huyu ndiye wenda atakuwa dikteta wa kike toka Dunia ianze,ila naapa huyu Mama hatoboi ndani ya utawala wake
Wala Samia hata jiuzulu. Anakwenda kutawala kwa mkono wa chuma. Hii ni kufa ama kupona kwa CCMWasimulia Ushahidi wa mauaji yanayotokea katika mfumo wa picha na video waelezewa na waalezewa waandishi, sikiliza :
View: https://m.youtube.com/watch?v=0fRm-cTatQI
Picha na video hizo zinahifadhiwa kwa kwa ajili ya hatua za kuwawajibisha wahusika wa mauaji atrocities, massacre bloodbath
INEC wamebakiwa na akili ya kuvukia barabara tu!Ndo kashinda kwa 97.6% huyo 😂.
Mazumbukuku sana hawa watu.
Shusha taarifa yote!02 November 2025
BREAKING ! BAD NEWS HIT SAMIA'S FAMILY AS ICC the Hague Court DEADLY MESSAGE AFTER 500 BODIES FOUND !
View attachment 3496606
Hakuna mwenye akili huko.INEC wamebakiwa na akili ya kuvukia barabara tu!
Uzanzibari wake sio issue. She just happens to be a wicked Zanzibari.Wa-Tanganyika tuamke , huu ukuma kabisa wakutawaliwa na M-Zanzibar, Yaani Tanganyika imekuwa shamba la-Bibi, Ccm wanatukosea sana🙁
Yaani ni ujinga mkubwa sana. Huyu mama anataka kutuharibia nchi yetu then anakimbilia zake Zanzibar au Oman. Hana cha kupotezaWa-Tanganyika tuamke , huu ukuma kabisa wakutawaliwa na M-Zanzibar, Yaani Tanganyika imekuwa shamba la-Bibi, Ccm wanatukosea sana🙁
Shusha taarifa yote!
Kutoka BBC | Novemba 2, 2025
View attachment 3496601
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma.
Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga ya kitaifa ya TBC, sherehe ya uapisho itafanyika katika uwanja wa kijeshi ambapo raia wa kawaida hawatakubaliwa kuhudhuria.
TBC itarusha matangazo hayo mubashara kutoka Dodoma kwa taifa.
Rais Samia alitangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29 kwa kujinyakulia asilimia 97.66 ya jumla ya kura zote zilizopigwa.
INEC imetangaza kwamba ushindi mkubwa wa Rais Samia ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Tanzania katika awamu tano za kwanza za uongozi wa nchi hiyo.
Wapiga kura milioni 37 walisajiliwa kushiriki kwenye uchaguzi wa mwaka huu huku INEC ikisema kwamba Samia alipata jumla ya kura milioni 31.
Aidha tume hiyo imesema pia kwamba asilimia 87 ya waliosajiliwa kupiga kura walijitokeza kushiriki kwenye uchaguzi huo ambao ulishuhudia maandamano huku mji wa Dar es Salaam ukikabiliwa na amri ya kutotoka nja kati ya saa 12 jioni na saa 12 asubuhi.
That ain’t happening. That wicked woman is a brainless Neanderthal.Nina uhakika 💯, anaapishwa alafu anajiuzulu ili nchi ashike Nchimbi (makamu wake)…inshort wanalazimisha kuokoa CCM, maana akiachia ngazi sasa, inabidi serikali ya mpito iwekwe ambako kuna asilimia kubwa CCM kufutwa kama sio kutoka madarakan. Ni akili za kawaida kujua haka kamchezo wanakotaka kufanya. JWTZ have let us down.