Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Hamna kitu, zile ni pesa zake personal , ni personal gain baada bya kuuza nchi, na rasilimali zake kwa waarabu.mabilioni ya ruzuku ya chama tutayatumia wap sasa,
mabango na mapikikpiki mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku gentleman?π
mav8 na pickup 0km ya kijani, yanakuja yote yameandikwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
sasa itakuaje mkuu yakifika π€£
Farasi ni WA bure kupata ushindi, shijaa hajisalimishi kwa wingi farasi.mabilioni ya ruzuku ya chama tutayatumia wap sasa,
mabango na mapikikpiki mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku gentleman?π
mav8 na pickup 0km ya kijani, yanakuja yote yameandikwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
sasa itakuaje mkuu yakifika π€£
sasa kama ni hivyo,Hamna kitu, zile ni pesa zake personal , ni personal gain baada bya kuuza nchi, na rasilimali zake kwa waarabu.
2025 atashinda Urais bwa KIZIMKAZI π π€£π
kapumzike bas gentleman na urelax maana naona ukomo wa fikra zako dhidi ya hoja yangu umekufika...Farasi ni WA bure kupata ushindi, shijaa hajisalimishibkwa wingi farasi.
Kifupi hana kitu Cha kuongea jukwaani
Hakuna marafiki, SEMA wakwepa Kodi na waauza madawa ya kulevya NGADAsasa kama ni hivyo,
Zikianza kutumika zile za ruzuku ya chama, wafanyabiashara na marafik wa chama itakuaje?π€£
ndio maana nakwambia huyu mama Dr SAMIA SULUHU HASSAN anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo bila hata kampeni π
hebu mtaje huyo mpinzani Taifa licheke kwa dharau kwa pamoja π€£JamiiForums
Jukwaa la Siasa
Kuelekea 2025 Kiukweli 2025 Simwoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri.
Thread starterRobert Heriel Mtibeli Start dateToday at 11:36 AM Tagskura mtu rais rais samia samia uchaguzi 2025 upinzani
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1 of 5
Next
Last
Jump to new
Subscribe
β’β’β’
Robert Heriel Mtibeli
Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
Today at 11:36 AM
Add bookmark
#1
Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. LakiΓ±i huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoΓ±geaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. AnawΓ©za akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Ni waauza madawa ya kulevya, na wakwepa Kodi, over CCM haina marafiki, ni wezi, majambazi,, wakwepa Kodi, ambao wanataka kujilinda dhidi ya maovu yao.mnakoelekea ni kule panapo wahenyeshaga sana kwenye sanduku la kura,
hua mnawaita wananchi nini eti? majina gani wanapo wakataa π€£
Utakuwa mgenihebu mtaje huyo mpinzani Taifa licheke kwa dharau kwa pamoja π€£
hebu mtaje huyo mpinzani Taifa na nchi nzima icheke kwa dharau kwa pamojaπ€£JamiiForums
Jukwaa la Siasa
Kuelekea 2025 Kiukweli 2025 Simwoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri.
Thread starterRobert Heriel Mtibeli Start dateToday at 11:36 AM Tagskura mtu rais rais samia samia uchaguzi 2025 upinzani
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1 of 5
Next
Last
Jump to new
Subscribe
β’β’β’
Robert Heriel Mtibeli
Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
Today at 11:36 AM
Add bookmark
#1
Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. LakiΓ±i huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoΓ±geaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. AnawΓ©za akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
usione aibu we mtaje tu huyo mwwnye ushawishi zaidi ya Dr Samia Suluhu hasani, kua jasiri tafadhali π€£Utakuwa mgeni
ninyi watakatifu, walipa kodi, wenye marafiki ambao hamjilindi mbona mara zote wananchi huwakataa kwenye sanduku la kura πNi waauza madawa ya kulevya, na wakwepa Kodi, over CCM haina marafiki, ni wezi, majambazi,, wakwepa Kodi, ambao wanataka kujilinda dhidi ya maovu yao.
Hakuna urafiki na SHETANI
Ushawahi kusikia watu wanaoitwa court jesters??hebu mtaje huyo mpinzani Taifa na nchi nzima icheke kwa dharau kwa pamojaπ€£
usione aibu we mtaje tu huyo mwwnye ushawishi zaidi ya Dr Samia Suluhu hasani, kua jasiri tafadhali π€£
unaona aibu na unyonge kumtaja mgombea urasi wenu mwenye ushawishi zaidi ya Dr Samia Suluhu Hassan π€£Ushawahi kusikia watu wanaoitwa court jesters??
Walikuwepo kwenye medieval Period, huko EUROPE, Kazi Yao ilikuwa ni kuwachekesha wafalme,malkia, wanapokuwa kwenye msongo, je wewe una tofauti gani na hao??
Aksante sana kwa thread zako za kuchekesha.
Vipi bei Gani mnalipwa siku hizi huko Lumumba?? Au bado ni buku saba ileile??
Msalimie pia mmiliki wa mgahawa SHISHI FOOD, ambaye Huwa anamfurahisha πΈ πΈπ π€£π π€£
Tanzania hamna uchaguzi, Kuna UCHAFUZI.ninyi watakatifu, walipa kodi, wenye marafiki ambao hamjilindi mbona mara zote wananchi huwakataa kwenye sanduku la kura π
Wanajuwa taasisi na vyombo vyote viko chini yaoJahahahahaha asifanye basi tuone matokeo
ndio maana watu wanahama vyama,Tanzania hamna uchaguzi, Kuna UCHAFUZI.
Election ni. Process,
1.Nomination of candidate.
2.Cmpaign to seek mass support
3.Votting kupiga kura
4.Ballot counting
5.Decrale the winner
Katika mambo hayo lazima yawe fair, pasipo figisu, na matokeo yanayotangazwa lazima yali reflect voter's will, je kinachotangawzaw ndiyo kilichotakiwa na wapiga kura??
Tanzania kunakuwa na UCHAFUZI MKUU na siyo UCHAGUZI MKUU