Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We ni mpuuzi wa kiwango Cha lami, kwa kujitambulisha kuwa Ina shahadada ya mihemko!! Jibu hoja, jibu argument .
 
Hujitendei haki na hututendei haki Watanzania
umejiskia vibaya kuona ukweli ukiwekwa bayana mchana kweupe gentleman?πŸ’

pole sana,
ndio ugumu na uchungu wa ukweli ulivyo ni kuivumilia na kuubeba kama ulivyo tu ikiwa mbadala hukuna πŸ’
 
We ni mpuuzi wa kiwango Cha lami, kwa kujitambulisha kuwa Ina shahadada ya mihemko!! Jibu hoja, jibu argument .
hoja si iko mezani na jaojafutwa kwamba hata bila kampeni Dr.Samia Suluhu Hassan anaweza kupata ushindi wa kishindo?🀣

tuliza mihemko,
au ndio unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi πŸ’
 
hoja si iko mezani na jaojafutwa kwamba hata bila kampeni Dr.Samia Suluhu Hassan anaweza kupata ushindi wa kishindo?🀣

tuliza mihemko,
au ndio unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi πŸ’
I can see lack of objectivity and particularity,πŸ€£πŸ€£πŸ€”πŸ€”
Have you ever heard the term LOGIC???
I don't see any logic behind your argument.

You have allowed your 7 MB of your Intellect to be lead by your emotional πŸ€”πŸ€”

Tuna kazi kama tuna watu wanafikiri chini ya level ya mtoto wa primary darasa la pili.
 
Mamilioni ya waTanzania, katika makundi yao watamchagua Dr Samia Suluhu Hassan kama kiongozi na mkuu wa nchi ajaye ikiwa ataamua kugombea ukuu wa nchi katika ngwe ya pili ijayoπŸ’
Unafanya uchawa wa hatari, unampita CHAWA Mkuu LUCAS MWASHAMBWA??πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
 
Hatuchagui Rais wa kuazima
Mkuu wa Nchi ya Tanzania atachaguliwa kulingana sifa, vigezo vya kikatiba na uwezo wake wa kuwapambania wanainchi bila kujali, kabila, rangi, dini wala lake eneo anakotoka na hiyo ni kwa mujibu wa sheria...

Hakuna mbambamba hapo 🀣
 
Kwamba bara hatuna watu wenye sifa?
 
Logic is very simple I don't know where your confusions and mayhem coming from πŸ’

Let me confirm to you once again, that, without fear of contradictions Dr.Samia Suluhu Hassan can win general elections massively without even compaining πŸ’
 
You have committed fallacy of Ignorantia Ignirancio πŸ€”πŸ˜…πŸ˜…
 
Wajinga mpo wengi lakini taratibu mtakwisha tu. Nimejiridhisha kwamba hakuna mtu mwenye akili iliyokamilika anaweza kuandika hivi.. wewe ni tahira na chizi kabisa. Ni hasara kwa nchi kuwa na jitu kama wewe. Kufa
 
Kwamba bara hatuna watu wenye sifa?
tunao watu wengi mno wenye sifa bara na visiwani.na kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dr.Samia Suluhu Hassan ana kidhi sifa na vigezo vyote muhimu vya kisiasa na kikatiba na ana uhalali wa kipekee sana kupepreusha bendera ya CCM katika ngazi ya urais katika uchaguzi mkuu ujao πŸ’

hata hivyo,
kwa nguvu na ushawishi alio nao, hata bila kufanya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu iwapo atagombea πŸ’
 
You have committed fallacy of Ignorantia Ignirancio πŸ€”πŸ˜…πŸ˜…
relax gentleman,
mayhem is dangerous to mental health,

you must have good imotional stability capacity to accept and agree to the open truth like that kwamba even without campeining Dr Samia Suluhu Hassan will win elections πŸ’
 
Wajinga mpo wengi lakini taratibu mtakwisha tu. Nimejiridhisha kwamba hakuna mtu mwenye akili iliyokamilika anaweza kuandika hivi.. wewe ni tahira na chizi kabisa. Ni hasara kwa nchi kuwa na jitu kama wewe. Kufa
kwamba mihemko na ghadhabu zako ndio zitabadilika au kudhoofisha ukweli huu bayana, right?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…