Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mmehitimu kwa kiwango cha juu sana mafunzo ya mihemko, ghadhab hasira na kuwadhihaki wananchi wanao wakataa, na hicho kiboko cha laana kutoka kwa wananchi kitawasulubisha daima na milele 🐒

uzi ni ule ule mtabwekabweka mitandaoni, mkija field hamjulikani, hamueleweki hata kaofisi hamna, mwananchi gani huyo wa Tanzania atawachagua 🐒

by the way,
mimi niko shambani muda huu navuna, mimi ni kiongozi mwandamizi wa wananchi, mnyonge nisiestahili chochote mbele ya yeyote, na mchapakazi hodari asie choka, msomi, mwalimu, mkulima, muhubiri na mfugaji.

wa kunilipa ni Mungu kwa Neema na Baraka za nguvu nguvu na ubunifu alizonijalia, na hawa wanainchi wananipatia kidogo chochote kitu kwa maana ya ujira wangu kwa utumishi wangu uliyotukuka kwao 🐒
We ni mpuuzi wa kiwango Cha lami, kwa kujitambulisha kuwa Ina shahadada ya mihemko!! Jibu hoja, jibu argument .
 
Hujitendei haki na hututendei haki Watanzania
umejiskia vibaya kuona ukweli ukiwekwa bayana mchana kweupe gentleman?🐒

pole sana,
ndio ugumu na uchungu wa ukweli ulivyo ni kuivumilia na kuubeba kama ulivyo tu ikiwa mbadala hukuna 🐒
 
We ni mpuuzi wa kiwango Cha lami, kwa kujitambulisha kuwa Ina shahadada ya mihemko!! Jibu hoja, jibu argument .
hoja si iko mezani na jaojafutwa kwamba hata bila kampeni Dr.Samia Suluhu Hassan anaweza kupata ushindi wa kishindo?🤣

tuliza mihemko,
au ndio unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi 🐒
 
hoja si iko mezani na jaojafutwa kwamba hata bila kampeni Dr.Samia Suluhu Hassan anaweza kupata ushindi wa kishindo?🤣

tuliza mihemko,
au ndio unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi 🐒
I can see lack of objectivity and particularity,🤣🤣🤔🤔
Have you ever heard the term LOGIC???
I don't see any logic behind your argument.

You have allowed your 7 MB of your Intellect to be lead by your emotional 🤔🤔

Tuna kazi kama tuna watu wanafikiri chini ya level ya mtoto wa primary darasa la pili.
 
Mamilioni ya waTanzania, katika makundi yao watamchagua Dr Samia Suluhu Hassan kama kiongozi na mkuu wa nchi ajaye ikiwa ataamua kugombea ukuu wa nchi katika ngwe ya pili ijayo🐒
Unafanya uchawa wa hatari, unampita CHAWA Mkuu LUCAS MWASHAMBWA??🤣🤣🤣😅😅
 
Mkuu wa Nchi ya Tanzania atachaguliwa kulingana sifa, vigezo vya kikatiba na uwezo wake wa kuwapambania wanainchi bila kujali, kabila, rangi, dini wala lake eneo anakotoka na hiyo ni kwa mujibu wa sheria...

Hakuna mbambamba hapo 🤣
Kwamba bara hatuna watu wenye sifa?
 
I can see lack of objectivity and particularity,🤣🤣🤔🤔
Have you ever heard the term LOGIC???
I don't see any logic behind your argument.

You have allowed your 7 MB of your Intellect to be lead by your emotional 🤔🤔

Tuna kazi kama tuna watu wanafikiri chini ya level ya mtoto wa primary darasa la pili.
Logic is very simple I don't know where your confusions and mayhem coming from 🐒

Let me confirm to you once again, that, without fear of contradictions Dr.Samia Suluhu Hassan can win general elections massively without even compaining 🐒
 
You have committed fallacy of Ignorantia Ignirancio 🤔😅😅
 
Record yake kiuchumi kijamii na kisiasa inambeba juu juu zaidi.

weledi, uadilifu na umadhubuti wa serikali yake ndio msingi wa yote hayo.

Kwenye Demokrasia, Haki, Usawa, Uhuru, Uwazi, Uwajibikaji, utawala Bora na Utawala wa Sheria, achilia mbali humu nchini, Africa Mashariki hayupo wa kumkaribia wala kumfikia. Dr.Samia Suluhu Hassan yuko mbele sana kwenye kusimamia nyanja hizi muhimu kwa ustawi wa Taifa moja la kizalendo.

Record yake ya ushindi wa kishindo wa bila hata kampeni, inabebwa pia na uhakika na utoshelevu wa huduma muhimu za kijamii kama vile afya, elimu maji, miundombinu, usafirishaji, ulinzi na usalama.

Kusimamia kikamilifu na kumalizia miradi mikubwa ya kimkakati kama vile bwawa la Mwalimu Nyerere na Mardi wa SGR ambayo yote imeanza kufanya kazi na kuwanufaisha waTanzania.

Lakini pia mazingira mazuri sana ya biashara, uwekezaji, utalii, uwekezaji, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k ambayo yamezalisha ajira likuki kwa vijanaa nchini.

Dhamira yake, nia njema yake, mipango na mikakati yake madhubuti ya kuwatumikia na kuwaletea wanainchi maendeleo, imevutia zaidi vijanaa na makundi mbalimbali ya jamii kumuunga mkono kiongozi huyu anaekubalika na kupendwa zaidi humu nchini.

Hayumbishwi wala kutetereshwa na mihemko, kejeli na dhihaka za yeyote. Yuko determined, focused and committed to transform Tanzania into prosperous country.

Kwa uchache wa record hizo za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani kuna Jambo gani lingine muhimu litakalo saidi kumpa huyu mama ushindi wa kishindo bila kampeni 🐒

Pia Soma
- Tetesi: - Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025
Wajinga mpo wengi lakini taratibu mtakwisha tu. Nimejiridhisha kwamba hakuna mtu mwenye akili iliyokamilika anaweza kuandika hivi.. wewe ni tahira na chizi kabisa. Ni hasara kwa nchi kuwa na jitu kama wewe. Kufa
 
Kwamba bara hatuna watu wenye sifa?
tunao watu wengi mno wenye sifa bara na visiwani.na kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dr.Samia Suluhu Hassan ana kidhi sifa na vigezo vyote muhimu vya kisiasa na kikatiba na ana uhalali wa kipekee sana kupepreusha bendera ya CCM katika ngazi ya urais katika uchaguzi mkuu ujao 🐒

hata hivyo,
kwa nguvu na ushawishi alio nao, hata bila kufanya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu iwapo atagombea 🐒
 
You have committed fallacy of Ignorantia Ignirancio 🤔😅😅
relax gentleman,
mayhem is dangerous to mental health,

you must have good imotional stability capacity to accept and agree to the open truth like that kwamba even without campeining Dr Samia Suluhu Hassan will win elections 🐒
 
Wajinga mpo wengi lakini taratibu mtakwisha tu. Nimejiridhisha kwamba hakuna mtu mwenye akili iliyokamilika anaweza kuandika hivi.. wewe ni tahira na chizi kabisa. Ni hasara kwa nchi kuwa na jitu kama wewe. Kufa
kwamba mihemko na ghadhabu zako ndio zitabadilika au kudhoofisha ukweli huu bayana, right?🤣
 
Back
Top Bottom