Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni kweli Samia atashinda hata bila kampeni, kwasbb watanzania wamefurahishwa sana na:-
1. Uuzwaji wa bandari zetu kwa DP World.
2. Tozo ya 2000 kwenye LUKU.
3. Ufurushwaji wa wamasai kule Ngorongoro.
4. Upuuzwaji wa ripoti ya CAG.
5. Kumsulubisha Mpina Baada ya kusema ukweli.
 
Ukweli Rais Samia nguvu ya ushawishi na Kwa wananchi hajawa nayo, siasa za bara zina njia zake, issue ya bandari ilimchafua sana najua watu wake wanafahamu kua kapoteza ushawishi hata ule kidogo aliokua nao
kwa kifupi tu,
zingatia maelezo kwenye hoja yangu ya msingi,
porojo na stori za pata potea hazina hasara wala haziwezi kutatiza wala kudhoofisha kabisaa ushindi wa kishindo wa bila kampeni wa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Ni kweli Samia atashinda hata bila kampeni, kwasbb wamefurahishwa sana na:-
1. Uuzwaji wa bandari zetu kwa DP World.
2. Tozo ya 2000 kwenye LUKU.
3. Ufurushwaji wa wamasai kule Ngorongoro.
4. Upuuzwaji wa ripoti ya CAG.
5. Kumsulubisha Mpina Baad y kusema ukweli.
mpeni mgombea urasi wenu basi hizo hoja aende nazo kuwaeleza wanainchi wanao enjoy huduma murua za kijamii zilizoletwa na mpendwa wao Dr.Samia Suluhu Hassan, nilizoziainisha hapo juu...🐒
 
Nasikitika kuwa wewe na machawa wenzako, wachumia tumbo. Tunashare hili Taifa, ni huzuni kubwa sana. Huyo mama hata liwekwe jiwe nayeye, jiwe litashinda.
Ona anavyohaha mara pikipiki, t-shirt, mabango, hapo kampeni haziajaanza. Mwambieni atulie hana mvuto wa kisiasa.
 
Sasa nani amchague kiongozi kiziwi ilhali wenye masikio ya kusikia wapo?
wananchi na waTanzania walio wengi wameamua tayari watamchagua Dr.Samia Suluhu Hassan kulingana na hoja nilizoziainisha hapo juu 🐒
 
Nasikitika kuwa wewe na machawa wenzako, wachumia tumbo. Tunashare hili Taifa, ni huzuni kubwa sana. Huyo mama hata liwekwe jiwe nayeye, jiwe litashinda.
Ona anavyohaha mara pikipiki, t-shirt, mabango, hapo kampeni haziajaanza. Mwambieni atulie hana mvuto wa kisiasa.
wenye mihemko na ghadhabu mtakao haribu kura mbona ni wachache tu,

haiwez kuathiri kampeni wala ushindi wa kishindo wa bila kampeni wa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

Mapikikpiki mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku ya chama binti wa kibantu,
kuna mav8 ya kijani 0km yanakuja 🤣

hivi unadhani tuna tania hapa na mihemko yenu ya mitandaoni 🤣
 
record yake kiuchumi kijamii na kisiasa inambeba juu juu zaidi...
weledi, uadilifu na umadhubuti wa serikali yake ndio msingi wa yote hayo...

kwenye Demokrasia, Haki, Usawa, Uhuru, Uwazi, Uwajibikaji, utawala Bora na Utawala wa Sheria, achilia mbali humu nchini, Africa Mashariki hayupo wa kumkaribia wala kumfikia. Dr.Samia Suluhu Hassan yuko mbele sana kwenye kusimamia nyanja hizi muhimu kwa ustawi wa Taifa moja la kizalendo...

Record yake ya ushindi wa kishindo wa bila hata kampeni, inabebwa pia na uhakika na utoshelevu wa huduma muhimu za kijamii kama vile afya, elimu maji, miundombinu, usafirishaji, ulinzi na usalama...

kusimamia kikamilifu na kumalizia miradi mikubwa ya kimkakati kama vile bwawa la Mwalimu Nyerere na Mardi wa SGR ambayo yote imeanza kufanya kazi na kuwanufaisha waTanzania...

lakin pia mazingira mazuri sana ya biashara, uwekezaji, utalii, uwekezaji, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k ambayo yamezalisha ajira likuki kwa vijanaa nchini...

dhamira yake, nia njema yake, mipango na mikakati yake madhubuti ya kuwatumikia na kuwaletea wanainchi maendeleo, imevutia zaidi vijanaa na makundi mbalimbali ya jamii kumuunga mkono kiongozi huyu anaekubalika na kupendwa zaidi humu nchini...

hayumbishwi wala kutetereshwa na mihemko, kejeli na dhihaka za yeyote. Yuko determined, focused and committed to transform Tanzania into prosperous country...

kwa uchache wa record hizo za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani kuna Jambo gani lingine muhimu litakalo saidi kumpa huyu mama ushindi wa kishindo bila kampeni 🐒
Malizia bila mabango, bila kugawa pikipiki, bila kuanza kampeni mapema,bila kuuza bandari, bila kuuza mbuga za wanyama, bila maridhiano feki yanayoitwa 4 R anashinda saa mbili asubuhi 🤣🤣🤣🙏😅😅😅

WAPI EMOJI YA PICHA YA MAVI 🤣😅
 
wananchi na waTanzania walio wengi wameamua tayari watamchagua Dr.Samia Suluhu Hassan kulingana na hoja nilizoziainisha hapo juu 🐒
Wananchi ni Hawa wanaotia comment humu,

Hesabu tu comment za kumkubali vs wanaomkataa utapata jibu!!
 
Wananchi ni Hawa wanaotia comment humu,

Hesabu tu comment za kumkubali vs wanaomkataa utapata jibu!!
hawa wa mihemko, ghadhabu na wapotosha matusi 🤣

field huwa hawaonekani why?
 
hawa wa mihemko, ghadhabu na wapotosha matusi 🤣

field huwa hawaonekani why?
Ni dhahiri mgombea wako amekataliwa kwenye Uzi huu kabla ya Uchaguzi na ww ni shahidi.

Peleka report CCM waje na mgombea mpya 2025.
 
Malizia bila mabango, bila kugawa pikipiki, bila kuanza kampeni mapema,bila kuuza bandari, bila kuuza mbuga za wanyama, bila maridhiano feki yanayoitwa 4 R anashinda saa mbili asubuhi 🤣🤣🤣🙏😅😅😅

WAPI EMOJI YA PICHA YA MAVI 🤣😅
mabilioni ya ruzuku ya chama tutayatumia wap sasa,
mabango na mapikikpiki mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku gentleman?🐒

mav8 na pickup 0km ya kijani, yanakuja yote yameandikwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
sasa itakuaje mkuu yakifika 🤣
 
Ni dhahiri mgombea wako amekataliwa kwenye Uzi huu kabla ya Uchaguzi na ww ni shahidi.

Peleka report CCM waje na mgombea mpya 2025.
kura za mihemko, ghadhabu na matusi ni kura zilizoharibika gentleman 🐒

ushindi wa kishindo wa bila kampeni wa Dr Samia Suluhu Hassan hautetetereshwi na mihemko mkuu 🐒
 
Back
Top Bottom