Na Kwa taarifa Yao tuu hakuna Nchi inakosa walalamishi 😂😂👇👇Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,
Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.
Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.
Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Zombie na tahira.Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,
Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.
Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.
Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Sa100 mwenyewe anaona giza mbele hana uhakika wa kutoboa lakini mzee wa msoga na machawa wake kazi yao kumtia moyo tu na kumlazimisha mama wa watu.Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,
Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.
Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.
Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Umemsahau Ndungaye na KatelephoneSamia ameajiri machawa wa kumpambania mitandaoni wakati huku mitaani hakubaliki.. angefanya km Magu kuwapambania wananchi wa kawaida angependwa, ameongeza maadui kuanzia Makamba, Ummy, Polepole, Gwajima, anatoboaje ?
Vibaka ni wewe na chawa wenzako mnaotaka Mgombea apitie mlango wa nyuma. Achukue fomu, na wengine pia wachukue fomu, wazunguke mikoani kutafuta wadhamini. Acheni ulofaNa kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,
Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa ccm ni zaidi ya katiba ya ccm yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.
Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Dr.samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.
Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Anakaribia kuchanganyikiwa, fatilia nyuzi zake nyingi za hivi karibuniKwani nini kimetokea? Kuna dalili nyingine tofauti na maazimio zimeonekana? Kama hakuna, why umeanzisha uzi huu?
Dr.samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM,atakae pambana na wagombea urais wa vyama vingine vya siasa nchini kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu 2025.Vibaka ni wewe na chawa wenzako mnaotaka Mgombea apitie mlango wa nyuma. Achukue fomu, na wengine pia wachukue fomu, wazunguke mikoani kutafuta wadhamini. Acheni ulofa
ushirikina utakupofusha macho kabisa gentleman, wewe ni kijana tafadhali, achana na hizo ramli zingatia maelezo mahususi mezani kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒Sa100 mwenyewe anaona giza mbele hana uhakika wa kutoboa lakini mzee wa msoga na machawa wake kazi yao kumtia moyo tu na kumlazimisha mama wa watu.
Jamani muacheni sa100 akalee wajukuu zake imetosha kwa alipotufikisha...
Dr.Samia Suluhu Hassan ni mgombea urais wa CCM aliethibitishwa na vikao maalumu vya juu zaidi vya CCM na ambae anatazamiwa kushinda uchaguzi mkuu wa October, kukamata dola, kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muhula mwingine hadi 2030.Kushinda uchaguzi ni kitu kingine
Kuongoza chama kilicho gawanyika na taifa lililo gawanyika ni kitu kingine .
Shinda uchaguzi ongoza watu walio wamoja. That is my prayer, otherwise polisi watatunika sana kuwaumiza wananchi wasio na hatia.
Yaani unamuuliza What’s cooking inside there ?! 😄😅🤣🤣 !Kwani nini kimetokea? Kuna dalili nyingine tofauti na maazimio zimeonekana? Kama hakuna, why umeanzisha uzi huu?
Mmmmh !Huyu mama yetu kipenzi tunaye sana bado
ni shauku, matarajio na matamanio ya kila mtanzania kwamba mama hyu Dr Samia Suluhu Hassan atakua Rais hadi 2030 na pengine na kuendelea 🐒Atakuwa mgombea wa CCM lakini sio Rais wa hii nchi ya Tanzania. Tunahitaji Rais mpya ambaye hatafurahia kifo Cha raia kwa kusema kifo ni kifo.