GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani nini kimetokea? Kuna dalili nyingine tofauti na maazimio zimeonekana? Kama hakuna, why umeanzisha uzi huu?
kilichotokea ni mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kuthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan kua mgombea urais wa CCM kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025.

huu uzi ni mahususi katika kuweka records sawa gentleman.

waambie na wenzako bila kificho 🐒
 
Shikilia hapohapo ili moto uzidi kuwaka vizuri huko ndani.
Lakini ni nani mwenye Uwezo wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye ndiye Mkuu kabisa wa Kaya yooote pamoja na Taasisi zake Zootee !
Hivi huwa hamuisomi vizuri Katiba ya Nchi ???!
🤣🤣😅😅😄 ! Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 😳 !
 
Wekeni reforms mezani then hata mkipitisha wanne wote wangombee kwa kumsaport mmoja kutoka CCM, sisi tunaweka mmoja na hata tusipopiga kampeni mapema sana, tumemaliza kazi
reforms zilishafanyika gentleman na hivi sasa tunaelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu 2025.

Kama ulisusa michakato ya kidemokrasia ya reforms endelea kuinjoy mihemko ya athari za kususa ukadhani utabembelezwa au mambo ya kitaifa yatasimama 🐒
 
Jua lile literemke mamaa.X2
Aiyaiyaa iyaa mamaa..X2
mwezi nao usonge mbele mama,
aiyaiyaa iya iya mama.

viva Dr Samia Suluhu Hassan viva,
amandlaaa aaaaa🔥🔥🔥

ni 10 bila breki 🐒
 
Jifunze kujizuia kuwa na kiasi unapokuwa zimekupanda ili uje upate pa kujitetea wakati ambapo mambo hayajaenda kama ulivyodhani.
Jambo hili la kitaifa sio la kudhani gentleman, huu ni uhalisia kabisa,

kudhani dhani ni mambo ya washirikina na wapiga ramli gentleman ambao daima hawana imani hata na ushirikina wao.🐒
 
Mbona kama umechanganyikiwa?
plz gentleman,
huna haja ya kuchanganyikiwa dhidi ya ukweli huo bayana mezani.

ni muhimu sana kujifunza kupokea ukweli kwa hekima na itakusaiadia sana kuliko kung'ang'ana na mihemko.

waambie na wenzako kuhusu hili 🐒
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.

Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa CCM ni zaidi ya katiba ya CCM yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Tunatiki
 
Agombee, asigombee haituhusu, ila tunataka uchaguzi huru wa haki na wenye kuaminika.

Usingependa tukubaliane kwenye hilo?
maelezo ya kina yapo kwenye hoja mahususi gentleman.
Na jambo hili linawahusu waTanzania wote hata wale wenye mihemko, chuki au makasiriko, kwasabb ni jambo la kitaifa 🐒
 
kilichotokea ni mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kuthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan kua mgombea urais wa CCM kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025.

huu uzi ni mahususi katika kuweka records sawa gentleman.

waambie na wenzako bila kificho 🐒
Tunatiki
 
Mkuu kwani kuna mabadiriko? Mbona alishapitishwa sasa nguvu zote za nini?

Tusubirie october ifike tu.
Gentleman,
ni muhimu sana kutumia nguvu na gharama yoyote ile ili kuhakikisha hilo linatokea kwa kishindo kikuu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Back
Top Bottom