GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Dr.samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM,atakae pambana na wagombea urais wa vyama vingine vya siasa nchini kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu 2025.

usijikite kwenye ramli na manung'uniko ya kishirikina gentleman, zingatia uhalisia huo hapo juu šŸ’
Uhalisia ndo huo, Samia alipita kinyemela, sio mgombea halali wa Urais. Hatakiwi na hatumtaki.
 
Samia ameajiri machawa wa kumpambania mitandaoni wakati huku mitaani hakubaliki.. angefanya km Magu kuwapambania wananchi wa kawaida angependwa, ameongeza maadui kuanzia Makamba, Ummy, Polepole, Gwajima, anatoboaje ?
tuliza ball nyumbu naona huna hata point šŸ’
 
Mimi nampenda Mama Ila kuna sauti imeniambia mama hatokuwa Rais wa Tanzania
huenda ni sauti za misukule zinakuita gentleman.

ramli na imani za kishirikina nyakati hizi za sayansi na technologia ni kama vile zimetepeta hivi. Kung'ang'ana nazo ni kama mental slavery barden šŸ’
 
Uhalisia ndo huo, Samia alipita kinyemela, sio mgombea halali wa Urais. Hatakiwi na hatumtaki.
ndivyo wapiga ramli na ushirikiana mlivyopanga sio gentleman?

ndo hapo mlikua kwenye vikao vyenu vya kamati ya roho mbaya, right?šŸ’
 

Attachments

  • IMG_20230622_220349.jpg
    IMG_20230622_220349.jpg
    98.6 KB · Views: 20
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa CCM ni zaidi ya katiba ya CCM yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.
Duh,
Kumbe huelewi maana ya Katiba ya nchi?
Madhara ya uchawi na bangi yanatisha!
 
Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.
Hizi ndio taarifa rasmi za ukweli. Hakuna mgombea mwingine wa CCM zaidi ya Dr Samia Suluhu Hasan.
Kama humtaki si ukachague mwingine Oktoba, maana kutakuwa na wagombea wengine toka vyama vingine.

Mnachohangaika nyie CHADEMA ni nini? Uchaguzi upo, tena mchana kweupeeee.
 
Hizi ndio taarifa rasmi za ukweli. Hakuna mgombea mwingine wa CCM zaidi ya Dr Samia Suluhu Hasan.
Kama humtaki si ukachague mwingine Oktoba, maana kutakuwa na wagombea wengine toka vyama vingine.

Mnachohangaika nyie CHADEMA ni nini? Uchaguzi upo, tena mchana kweupeeee.
well done comrade,šŸ”„

umenifurahisha mkurugenzi šŸ’ŖšŸ‘Š
 
Uzuri wa machawa ni mmekosa aibu. Kesho akitangazwa mgombea mwingine mnahamisha support kama sio nyie.

Huwa namithilisha machawa na wauza uchi, mwenyewe dau kubwa daima ndio anaeishia kula mzigo.
 
Mimi sina shida na wewe kabisa. Shida yangu iko kwa wale waliolike; upeo wa fikra zao unanifikirisha sana, japo ni ndugu zangu.
Screenshot (154).png
 
Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,

Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.

Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa CCM ni zaidi ya katiba ya CCM yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.

Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Slow Slow anasemaje kwani? #KATAA_WAHUNI.
 
Back
Top Bottom