GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na Kwa taarifa Yao tuu hakuna Nchi inakosa walalamishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Zombie na tahira.
 
Kushinda uchaguzi ni kitu kingine
Kuongoza chama kilicho gawanyika na taifa lililo gawanyika ni kitu kingine .

Shinda uchaguzi ongoza watu walio wamoja. That is my prayer, otherwise polisi watatunika sana kuwaumiza wananchi wasio na hatia.
 
Sa100 mwenyewe anaona giza mbele hana uhakika wa kutoboa lakini mzee wa msoga na machawa wake kazi yao kumtia moyo tu na kumlazimisha mama wa watu.

Jamani muacheni sa100 akalee wajukuu zake imetosha kwa alipotufikisha...
 
Samia ameajiri machawa wa kumpambania mitandaoni wakati huku mitaani hakubaliki.. angefanya km Magu kuwapambania wananchi wa kawaida angependwa, ameongeza maadui kuanzia Makamba, Ummy, Polepole, Gwajima, anatoboaje ?
Umemsahau Ndungaye na Katelephone
 
Vibaka ni wewe na chawa wenzako mnaotaka Mgombea apitie mlango wa nyuma. Achukue fomu, na wengine pia wachukue fomu, wazunguke mikoani kutafuta wadhamini. Acheni ulofa
 
Vibaka ni wewe na chawa wenzako mnaotaka Mgombea apitie mlango wa nyuma. Achukue fomu, na wengine pia wachukue fomu, wazunguke mikoani kutafuta wadhamini. Acheni ulofa
Dr.samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM,atakae pambana na wagombea urais wa vyama vingine vya siasa nchini kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu 2025.

usijikite kwenye ramli na manung'uniko ya kishirikina gentleman, zingatia uhalisia huo hapo juu πŸ’
 
Anakaribia kuchanganyikiwa, fatilia nyuzi zake nyingi za hivi karibuni
pwagu usimpotoshe pwaguzi kindezi hivyo tafadhali.

zingatieni ukweli juu ya hoja hiyo mahususi mezani kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
 
Sa100 mwenyewe anaona giza mbele hana uhakika wa kutoboa lakini mzee wa msoga na machawa wake kazi yao kumtia moyo tu na kumlazimisha mama wa watu.

Jamani muacheni sa100 akalee wajukuu zake imetosha kwa alipotufikisha...
ushirikina utakupofusha macho kabisa gentleman, wewe ni kijana tafadhali, achana na hizo ramli zingatia maelezo mahususi mezani kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
 
Kushinda uchaguzi ni kitu kingine
Kuongoza chama kilicho gawanyika na taifa lililo gawanyika ni kitu kingine .

Shinda uchaguzi ongoza watu walio wamoja. That is my prayer, otherwise polisi watatunika sana kuwaumiza wananchi wasio na hatia.
Dr.Samia Suluhu Hassan ni mgombea urais wa CCM aliethibitishwa na vikao maalumu vya juu zaidi vya CCM na ambae anatazamiwa kushinda uchaguzi mkuu wa October, kukamata dola, kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muhula mwingine hadi 2030.

waambie na wenzako kuhusu hili πŸ’
 
Atakuwa mgombea wa CCM lakini sio Rais wa hii nchi ya Tanzania. Tunahitaji Rais mpya ambaye hatafurahia kifo Cha raia kwa kusema kifo ni kifo.
ni shauku, matarajio na matamanio ya kila mtanzania kwamba mama hyu Dr Samia Suluhu Hassan atakua Rais hadi 2030 na pengine na kuendelea πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…