kilichotokea ni mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kuthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan kua mgombea urais wa CCM kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025.Kwani nini kimetokea? Kuna dalili nyingine tofauti na maazimio zimeonekana? Kama hakuna, why umeanzisha uzi huu?
Lakini ni nani mwenye Uwezo wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye ndiye Mkuu kabisa wa Kaya yooote pamoja na Taasisi zake Zootee !Shikilia hapohapo ili moto uzidi kuwaka vizuri huko ndani.
reforms zilishafanyika gentleman na hivi sasa tunaelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu 2025.Wekeni reforms mezani then hata mkipitisha wanne wote wangombee kwa kumsaport mmoja kutoka CCM, sisi tunaweka mmoja na hata tusipopiga kampeni mapema sana, tumemaliza kazi
Jambo hili la kitaifa sio la kudhani gentleman, huu ni uhalisia kabisa,Jifunze kujizuia kuwa na kiasi unapokuwa zimekupanda ili uje upate pa kujitetea wakati ambapo mambo hayajaenda kama ulivyodhani.
plz gentleman,Mbona kama umechanganyikiwa?
TunatikiNa kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen,
Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao vingine vya kikatiba vya CCM kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mgombea urais wa CCM.
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa CCM ni zaidi ya katiba ya CCM yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.
Na kwa hali ya kisiasa ilivyoinarika, Samia Suluhu Hassan, inaonekana kana wazi atashinda uchaguzi huo huru, wa haki na wawazi kwa kishindo zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.
Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.π
Mungu Ibariki Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
TunatikiWewe wasema!!
Mama anawaumbua majizi na mafisadi wa Mali za umma.Mama Samia kaza hapohapo,wanaweweseka sasa.Asante sana Polepole!, Mungu akuangazie hekima zaidi ili manyang'au yendelee kuumbuka
maelezo ya kina yapo kwenye hoja mahususi gentleman.Agombee, asigombee haituhusu, ila tunataka uchaguzi huru wa haki na wenye kuaminika.
Usingependa tukubaliane kwenye hilo?
Tunatikina ninayasema haya kwa ujasiri mkubwa kwa mamlaka na kibali cha Neema na Baraka za Mungu gentleman π
Tunatikimaelezo ya kina yapo kwenye hoja mahususi gentleman.
Na jambo hili linawahusu waTanzania wote hata wale wenye mihemko, chuki au makasiriko, kwasabb ni jambo la kitaifa π
Tunatikikilichotokea ni mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kuthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan kua mgombea urais wa CCM kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025.
huu uzi ni mahususi katika kuweka records sawa gentleman.
waambie na wenzako bila kificho π
Gentleman,Mkuu kwani kuna mabadiriko? Mbona alishapitishwa sasa nguvu zote za nini?
Tusubirie october ifike tu.