GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uhalisia ndo huo, Samia alipita kinyemela, sio mgombea halali wa Urais. Hatakiwi na hatumtaki.
 
Samia ameajiri machawa wa kumpambania mitandaoni wakati huku mitaani hakubaliki.. angefanya km Magu kuwapambania wananchi wa kawaida angependwa, ameongeza maadui kuanzia Makamba, Ummy, Polepole, Gwajima, anatoboaje ?
tuliza ball nyumbu naona huna hata point πŸ’
 
Mimi nampenda Mama Ila kuna sauti imeniambia mama hatokuwa Rais wa Tanzania
huenda ni sauti za misukule zinakuita gentleman.

ramli na imani za kishirikina nyakati hizi za sayansi na technologia ni kama vile zimetepeta hivi. Kung'ang'ana nazo ni kama mental slavery barden πŸ’
 
Uhalisia ndo huo, Samia alipita kinyemela, sio mgombea halali wa Urais. Hatakiwi na hatumtaki.
ndivyo wapiga ramli na ushirikiana mlivyopanga sio gentleman?

ndo hapo mlikua kwenye vikao vyenu vya kamati ya roho mbaya, right?πŸ’
 

Attachments

  • IMG_20230622_220349.jpg
    98.6 KB · Views: 20
Ukubwa wa mkutano mkuu huo wa CCM ni zaidi ya katiba ya CCM yenyewe, lakini pia kisiasa ni mkutano ambao ni wa juu zaidi pengine hata zaidi ya katiba ya Tanzania kabisa.
Duh,
Kumbe huelewi maana ya Katiba ya nchi?
Madhara ya uchawi na bangi yanatisha!
 
Nashauri wadua wote makini wa JF kutokupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli wa kisiasa wanaotumia muda mwingi kuzusha au kuzua taharuki za kilofa dhidi ya ccm. Ni vizuri kuzingatia maelezo mahususi mezani.
Hizi ndio taarifa rasmi za ukweli. Hakuna mgombea mwingine wa CCM zaidi ya Dr Samia Suluhu Hasan.
Kama humtaki si ukachague mwingine Oktoba, maana kutakuwa na wagombea wengine toka vyama vingine.

Mnachohangaika nyie CHADEMA ni nini? Uchaguzi upo, tena mchana kweupeeee.
 
well done comrade,πŸ”₯

umenifurahisha mkurugenzi πŸ’ͺπŸ‘Š
 
Uzuri wa machawa ni mmekosa aibu. Kesho akitangazwa mgombea mwingine mnahamisha support kama sio nyie.

Huwa namithilisha machawa na wauza uchi, mwenyewe dau kubwa daima ndio anaeishia kula mzigo.
 
Mimi sina shida na wewe kabisa. Shida yangu iko kwa wale waliolike; upeo wa fikra zao unanifikirisha sana, japo ni ndugu zangu.
 
Slow Slow anasemaje kwani? #KATAA_WAHUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…