Kuna sehemu uzi unasema Mbowe ni gaidi?
Acha kuingilia kazi za mahakama
Wanaomtukana Rais ni wafuasi wa magufuli,Hawa wanafadhiliwa na Humphrey,na bashite,
Pia Wengine wanaomtukana Rais ni baadhi ya wajinga wenye mentality za udini, wao kwao wanatamani nchi hiwe au iongozwe na mkristo tu daima
Mwenyewe aliniacha solemba, mabandiko yake adhimu nayatafuta kwa tochi.Umekua adimu au macho yangu?
Hapana,ukweli lazima usemwe,Kuna watu wachache Wana fikra za udini tu hi Nchi, Wana chuki na Samia sababu ya dini yake,Wewe naweeeee
Sasa huo udini na uchochezi. Nyie ndio mnatuharibia
Naona umeanza kuwageuka chato gang taratibu.
Vizuri sana!
Unapoteza hadhi ya ulokole, ujue.
Hiko kichwa chako unatumia kufikiri au kufugia nywele ?
Mpaka muda huu huelewei hii ni nchi inayoundwa na Waislamu, Wakristo, Wachawi, Wapagani, Wahindu, Mabohora, Wabudha n.k na hivyo huwezi kutumia kitabu cha dini yako kujenga hoja kama hii?!
Hapana,ukweli lazima usemwe,Kuna watu wachache Wana fikra za udini tu hi Nchi, Wana chuki na Samia sababu ya dini yake,
Hawa ni wapuuzi kabisa
Wacha kueneza chuki za kikabila Lord denning
Haitabadilika Rais John Pombe Joseph Magufuli ataendelea kuishi na dunia itamkumbuka kama rais wa watanzania kwa misimamo yake kusimamia na kuongoza watu wake kwa kile alichokiamini.
Atabaki kuwa Mwamba Shujaa na rais wa karne kwa mengi makubwa na mazuri aliyofanya kwa taifa hili. Aendelee kulala salama kipenzi chetu
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Shujaa wa Karne ya 17
PamojaHatujakataa lakini. Yes she is a President of the United Republic of Tanzania.
Ni kweli, huyo ndiyo Mama yetu wa taifa!Waache wahangaike na maneno ila huyo ndio Rais na hamna kitu wanawezamfanya
Tuthibitishie hili!Wapo telee. Hujawaskiaga?
Mkuu umeongea vizuri Sana,barikiwaPoint ya maana hii. Lakini nakuongezea ushauri.
Itakuwa heri kwako ukizifahamu “mindset” za baadhi ya wadau ili usipate tabu nyingi kujibizana nao. Kwa wengine hapa, Rais wa nchi ni juu ya yote. Maamuzi yake, maagizo yake na mawazo yake yanatakiwa kukubaliwa, kuheshimiwa, na kutekelezwa bila kuhojiwa. Lazima Rais apewe “unqualified support”. In short, the President is always right.
Hapo hakuna mjadala.