Huyu bibi zamani nilikuwa namuona kama mtu mwenye busara kumbe ni mtu wa hovyo sanaTafsiri, hata tusipopata kura zenu tutaiba tu kura na kuunda serikali kwa hila.
NEC inasubiri kuwatangazaSasa kama kura zikiwa nyingi kwa chama kingine wao watashinda vipi?
Hii ndo ishara ya kwamba Uchaguzi wetu hauamuliwagi kwa wingi wa kura za halali za kwenye maboksi
Jane hii lugha achana nayo, inakuvua chupi. Huijui.She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Hahahaha people a lot [emoji3][emoji3][emoji3]Jane hii lugha achana nayo, inakuvua chupi. Huijui.
Anaenda kinyume na mwenyekiti anaposema ccm itawaletea maendeleo hata wale waliopigia kura upinzani. Magufuli alishatoa kauli ya kibaguzi kuwa watakao chagua vyama vya upinzani hawatapelekewa maendeleo.View attachment 1601260
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Kwahiyo anajitapa kwa wizi na dhuluma watakayofanya ili waendelee kuwa madarakani sio! Ni vipi aseme hata wakipigia kura chama kingine lakini wao ndio wanaenda kuunda serikali?
Anaenda kinyume na mwenyekiti anaposema ccm itawaletea maendeleo hata wale waliopigia kura upinzani. Magufuli alishatoa kauli ya kibaguzi kuwa watakao chagua vyama vya upinzani hawatapelekewa maendeleo.View attachment 1601260
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Mabeberu yakipitia hapa......Nothing, just we are in the campaign trail. Everyone has to fight for their side, and when they speak, the other side will always find offended. But in the end, its politics. After the election is over, you'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much.
Huyu mama nilikuwa namuheshimu sana, atleast alionekana kuwa objective , lakini kaamua kuwa JAHIRI na MJUBA..πππππView attachment 1601260
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Kuunda serikali bila kura tafsiri yake nini?Hili ni Doa la Damu kwa kitambaa cheupe kama lile la risasi tatu tu.Ni jambo jema!
Huyu mama huwa anajifunua tabia zake halisi anapobanwa. Mmesahau kwenye Bunge la katiba?Kama ndivyo mbona unahangaika kupiga kampeni!!? Mama hekima umezisahau wapi tena!? Naamin umeteleza tu!
Mara hii hakuna keyboard warriors! Wacha waendelele kunibeep!Kuunda serikali bila kura tafsiri yake nini?Hili ni Doa la Damu kwa kitambaa cheupe kama lile la risasi tatu tu...
ππ Kweli mbogamboga mnajua mpaka mnakeraShe has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Ndo umeandika nini sasa? Ni kiingereza au lugha gani hiyo?She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
You'll know you don't know
This is not your levelππ Kweli mbogamboga mnajua mpaka mnakera