Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Nadhani mtu akiongea ukweli tusichukie alichosema ndio ukweli japo ni ukweli mbaya, hapo ni kama kajikatia tamaa Mbeya sasa anawaambia nyinyi wala sio muhimu sisi tunajuwa kura tutapata wapi. You are nothing
 
Mwaka huu!!!! Ukichimama nchale! Ukikaa nchale! Ukipiga kampeni nchale! Ukikaa nyumbani nchale! Chadema muwe na huruma mungu anawaona!!!!?
 
Ndiyo wajue umuhimu wa kukosolewa ili warekebishe kauli zao Kama hivi
Mzee kavuruda kwamba hatutawapa maendeleo wasiotupigua kura mama anarekebisha kauli baada ya Lisu kupigia spana Hilo jambo
 
wana hangaika licha ya kuiba viti walivyoiba. Lakini kamba iko shingoni. Mikakati yao ya kuiba kama walivofanya 2015 inajulikana.serikali inayokaa madarakani kupitia njia za kuiba huwa haifanikiwi.
 
View attachment 1601260

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Anaenda kinyume na mwenyekiti anaposema ccm itawaletea maendeleo hata wale waliopigia kura upinzani. Magufuli alishatoa kauli ya kibaguzi kuwa watakao chagua vyama vya upinzani hawatapelekewa maendeleo.
 
Kwahiyo anajitapa kwa wizi na dhuluma watakayofanya ili waendelee kuwa madarakani sio! Ni vipi aseme hata wakipigia kura chama kingine lakini wao ndio wanaenda kuunda serikali?

Sio wizi bali za CCM zitakuwa nyingi
 
View attachment 1601260

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Anaenda kinyume na mwenyekiti anaposema ccm itawaletea maendeleo hata wale waliopigia kura upinzani. Magufuli alishatoa kauli ya kibaguzi kuwa watakao chagua vyama vya upinzani hawatapelekewa maendeleo.
Nothing, just we are in the campaign trail. Everyone has to fight for their side, and when they speak, the other side will always find offended. But in the end, its politics. After the election is over, you'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much.
Mabeberu yakipitia hapa......
Nayaogopa sana mabeberu kwa kupanda.
 
View attachment 1601260

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Huyu mama nilikuwa namuheshimu sana, atleast alionekana kuwa objective , lakini kaamua kuwa JAHIRI na MJUBA..😭😭😭😭😭
 
Ni jambo jema!
Kuunda serikali bila kura tafsiri yake nini?Hili ni Doa la Damu kwa kitambaa cheupe kama lile la risasi tatu tu.

Tunaendesha uchaguzi ili tupate viongozi wa kuunda serikali na siyo vinginevyo,CCM msiwaingize Watanzania kwenye uhalifu.Heshimuni maamuzi ya Wananchi kama kulinda kura zao bila vikwazo.
 
Back
Top Bottom