Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Kuna mahali ulimcheka mtu kwa kiingereza chake lakini chako.....

Amandla...
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mama yumo kwenye 10 bora za mwanzo zitakazoburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mama yumo kwenye 10 bora za mwanzo zitakazoburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa
Kabla ya kusema vitu ambavyo hamvijuwi, mgekuwa mnajiridhisha kama nani ana mamlaka ya kumshitaki mtu au kikundi cha watu kwenye mahakama ya kimataifa. Na ni vigezo vipi vinatumika mpaka mtu afikishwe mahakamani, kwa kifupi, hicho unachokisema hapa hakitatokea kwa Tanzania hii ya leo.
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mama yumo kwenye 10 bora za mwanzo zitakazoburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa
Huu utoto mngeachana nao maana imekuwa proved mara kibao kwamba hizi ni wishful thinking. Grow up guys
 
Huyu bibi naye sikujua kama ni katili hivi
 
Matokeo ya kupikwa ,mkakati naona ulianza miaka ya nyuma,ndiyo maana Magu alipangua watu wote akaweka cabinet yake
 
Huyu mama nilikua namheshimu Sana lakini SASA hivi namuona kama MTU anaetembea uchi.
 
Ukisikia 'Watashindanaa Lakini Hawatashinda (kwa sauti ya mzee wa upako)' Ndiko huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…