Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mama yumo kwenye 10 bora za mwanzo zitakazoburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa
Watu wazuri hawafi 😅😅
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
It's correct, is she not? Wewe utaweka sukari kwenye pipa?

Jana pia kawaambia kuwa pale haoni wa kumpinga 2025 nao wakamshangilia.Kila Ubaya Utalipwa
Wamefikia kwenye makabidhiano maarufu kama maridhiano. Ha ha ha ha haTupe Majibu Nabii Feki!
Mmefikia wap?
Makabidhiano/Maridhiano. Ha ha ha ha haTaarifa zinaonyesha kwamba huyu mama yumo kwenye 10 bora za mwanzo zitakazoburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa
Ha ha ha ha ha ha, makamanda uchwara.Makamanda leo wanaumuona shujaa😀
Bora muwakumbushe hawa chawa ukweli, huyo mzuri ndo aliwaumiza kupindi hichoMakabidhiano/Maridhiano. Ha ha ha ha ha
Bora umewashtukia mkuu, nakupa big up!Makamanda leo wanaumuona shujaa[emoji3]
Anawapiga kibao, halafu anawaambia maridhiano 😀Bora muwakumbushe hawa chawa ukweli, huyo mzuri ndo aliwaumiza kupindi hicho
Ni mapema sana kumuamini mama
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Ha ha ha ha, vigeu geu.Hatua aliyofikia lazima tumpongeze akizingua na sisi tutamzingua uzuri anajua mziki wa CDM