Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Samia mpaka apakatwe kama wenzake ambavyo wamekuwa wakipakatwa bila ya hivyo ni kwa heri.
 
Watu wazuri hawafi 😅😅
 
It's correct, is she not? Wewe utaweka sukari kwenye pipa?
 
Mbona kama ameanz kutumia nguvu sana kipnd hiki badala ya kutumia akili kama hazitomsh akil huko mwishon ndio atumie nguvu
 
Ni mapema sana kumuamini mama
 
Hatua aliyofikia lazima tumpongeze akizingua na sisi tutamzingua uzuri anajua mziki wa CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…