Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Ukitaka kuijua tabia ya mtu, subiri apate hela au nafasi.
Hivi sasa amepata mafasi ndiyo tunaiona tabia yake halisi. Kumbe ni tofauti kabisa na huyu aliekua akiongoa hapa. Kumbe ni mtu asiyependa dhurma, kumbe ni mpenda amani ma Suluhu, kumbe jina la Suluhu lilikua na maana kubwa sana kwa nchi yetu.
Aache tu kuwavumilia hadi yale makundi ya kitapeli yaliyopo kwenye baraza lake la mawaziri
 
Makamu wa Rais huna cha kupoteza, utalipwa mshahara 80% mpaka unakufa. Lakini ujue Watanzania hawatawarudisha na mwenzio. Ulikuwa mama wa kupigiwa mfano, umekaa karibu na jiwe umekuwa mgumu!
Umesema ukweli kabisa!
 
Kosa la Nape ni lipi ikiwa hata rais huo ndiyo msimamo wake?
 
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani

- Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani


Ulingo mmoja wa kura na haya majambazi kuna haja gani ya kuingia kwenye uchaguzi wa kura??
 
Na bado, mkitaka susieni uchaguzi😁
 
DC kaweka wazi wanavyofanya kwenye mapori huko
 
Hivi huyu Mama na yule DC wa Longido tofauti yao nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…